Xhaka hatakuwepo jumatano maana leo amepewa kadi ya tano ya njano.
Lakini tutacheza kama kawaida.
Naona hapo Ramsey anaziba kwa Xhaka.
Nan katoa damu, hii game bila ujinga na utoto wa iwobi ,ilishaisha dk 20 za kipind cha kwanza
Unasemaa?Arsenal kipigo hakikwepeki.
Nasikitika ramsey anaachwa. Ni mzuri zaidi ya mkhitaryan.Xhaka hatakuwepo jumatano maana leo amepewa kadi ya tano ya njano.
Lakini tutacheza kama kawaida.
Naona hapo Ramsey anaziba kwa Xhaka.
Nasikitika ramsey anaachwa. Ni mzuri zaidi ya mkhitaryan.
Hahahaa! Mkuu ulikua unasubiri game liishe ili unitafute eeh!!Unasemaa?
I wish I could be there with them to support our Arsenal... Damn!!Tuko pamojaView attachment 953639
Ramssy ni CM ila ana tatizo la kutorudi nyuma kusaidia timu inapokuwa imezidiwa.
Hilo ni tatizo kubwa sana alipokuwepo Arsene Wenger.
Ndio maana maelekezo kwake akiingia kipindi cha pili ni kucheza katikati mbele ya Torreira akiwasaidia Auba na Lacazette.
Ndio mtindo twaweza kuuita 3-4-1-2
Ni mtindo mzuri sana ambao Arsenal hutumia kipindi cha pili.