Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Nilisikia anamtaka Banega wa SevillaAcha vijana wakapate uzoefu kidogo..Mechi yenyewe haieleweki kama itakuwepo Au la..
Naona Ramsey anachezea bench sana kipindi hiki..January Ifike auzwe Emery alete Torreira mwingine pale Kati.
Ozil London
Iwob London
Mustafi London
Sead London
Hector London
Toreira London
Xhaka London
Auba London
Lacazete London
Koscienly London
Sokratis London
Leno London
Timu nzima imebaki nyumbani kupiga tizi kwa ajili ya spurs .....
Apo unaweza kupanga kikosi chako vzuri tu .
Leno
Hector
Sead
Mustaf
Sokratis/rob/lolo
Xhaka
Toreira
Iwob
Auba
Ozil
Lacazette
Sub....
Czech, gundouz,elneny,Rowe, Ramsey, mikhtarian
*bring it on Gunners*
#coyng
#coyng
Upande wa auba Emery anamwekaga Iwobi... Labda Iwobi aanzie benchi halafu auba aanze... Ozil atamwanzisha tu hii gemuMkuu natamani game ya Spurs tucheze kwa tactics kama Last game 3-4-3...Hector na Kolasinac wasukume mashambulizi tokea pembeni.
Auba aanze, Ozil atulie Benchi tena Sababu Spurs wanaweza wakaweka watu wa kazi Kati akina Sissoko,Dembele...atapotea.
Tunahitaji kuwin battle ya kiungo kwa namna yeyote Ile.
Tukitumia flanks yule Son atapata kazi ya kukaba asiwe free...Huku nyuma Holding sina shaka atalala na Kane.Pale Kati sina shaka Man of the Match Torreira atakua na Erricksen..
Sioni Spurs anatokaje hii game.Labda kama uchawi upo.
Gooooal....Vorskla 0-2 Arsenal
Ramsey....27'
Vorskla 0-2 Arsenal
Dakika ya 27
Kumbe tunafuatilia wengi...hhhh0-2 arsenal
Penalty Ramsey
Hhhh....manure anakalia nyingi tu kwa hichi kikosi...Man u wakiona kikosi tunachokiita cha watoto watatupiga mawe
Hizi kauli zinanifurahishaga sana...Wapigwe nyingi tu hamna namna