Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hebu iheshimu arsenal, hata liva walitamba sana, ila walipikuja emirates waliytafuta mpira kwa tochiTottenham kuna Harry Kane kuna Eriksen kuna Dele Alli, mpira dakika tisini maneno kama haya hayaChelsea wameyaongea sana mwisho wao wakapigwa kichapo heavy na hao hao mnaoongea kirahisi kuwa mnawafunga. Kuna mmoja hapo juu anasema na Man Utd nao watapigwa kirahisi tu haya mi nitakuja tu kufukua makaburi humu ila tu msikimbie thread yenu hii kama alivyofanya Mentor na Eden Kimario na wenzao kule
Hebu iheshimu arsenal, hata liva walitamba sana, ila walipikuja emirates waliytafuta mpira kwa tochi
Unapisema wana eriksen ,mm nitakwambia arsenal wana ozil
Ukisema wana kane ,mm nitakwambia arsenal wana auba
Hebu elewa mpira ni tactic na approach ,
Usi conclude et anafungwa ,
Mpira. Sio siasa za CCM unajua anashinda hata kabla ya uchaguz na kampen
Useme hivo ,ila tambua pale ni emirates lazima waje kwa adabu ,hata liver alitamba sana, ila hakuamin alichokionaKwa hiyo tayari mmeshawazidi Tactics sio? All in All hiyo mechi ni ngumu kwa maana ya kwamba ina matokeo matatu ya mpira (win,draw,lose)
Useme hivo ,ila tambua pale ni emirates lazima waje kwa adabu ,hata liver alitamba sana, ila hakuamin alichokiona
Wewe kweli mpira hujui ,na hujijui kama...hujuiLiverpool Hakuamini alichokiona wakati mechi yenu ya nyumbani na Liverpool ndio ilitoa proof kwamba mna hali mbaya au umeshasahau kuwa nyie ndio mlikuwa mnapigania walau point moja tokea nyuma baada ya Milner kuwawasha
Useme hivo ,ila tambua pale ni emirates lazima waje kwa adabu ,hata liver alitamba sana, ila hakuamin alichokiona
Kabla ya game na mlichokishuhudia ndio mlichotarajia?Hakuamini Alichokiona? Kweli Mpira una wenyewe!! Labda nikuulize mulioata Points ngapi?
Wewe kweli mpira hujui ,na hujijui kama...hujui
Naishia hapa,
Kabla ya game na mlichokishuhudia ndio mlichotarajia?
Shukuru game iliisha sare ,
Mlitamba sana lkn ,
Tulishuhudia kiungo wa £44m akirukaruka tu
Kama sio umakini wa belle tungekuwa tunaongea mengine, na mlishukuru ile sare
Hiv kusawazisha ndio kutafuta droo? Huon kama nilikuonesha umwamba? Nimesawazisha baada ya goli la papatupapatu, na bado nikawa nakutafutaUsichachawe! Jibu hoja Nani kati ya Liverpool na Arsenal aliyekuwa akiitafuta draw? Coz kina mmoja alichomekwa goli hapo akawa anahangaika kuchomoa!
Aliyetamba ni nani? Na aliyeshangilia kupata sare ni nan kama si nyinyi? [emoji23] [emoji23]Hiv kusawazisha ndio kutafuta droo? Huon kama nilikuonesha umwamba? Nimesawazisha baada ya goli la papatupapatu, na bado nikawa nakutafuta
Kocha wako akawa anatafuta sare kwa kufanya sub dk za nyongeza
Leo unajitoa ufahamu,
Mlitamba sana , lkn mlipokuja emirate mkapoteana mwanzo mwisho
Sasa nakuja kukufumua hapo hapo kwako ,baada ya mwez mmoja
Au tutakutana pia UEROPA, maana unakuja huku, tiket yako anayo PSG
Kamuulize kocha wako, had dk za mwisho anakenua meno ,anafanya sub apoteze muda ,maana watoto wa london walikuwa wanakuja kama nyukiAliyetamba ni nani? Na aliyeshangilia kupata sare ni nan kama si nyinyi? [emoji23] [emoji23]
Kama ita wezekana hili deal Lita kuwa poa sana, ila pia ina semekana Neymar ana taka kurudi Barca so Wana taka kufanya exchange kwamba Dembele aende PSG afu waongeze na hela kidogo.Kama Arsenal Watakua na Pesa ya Kumleta Dembele wamchukue tuu....
Kila mtu ni mtukutu duniani, inategemea anaishi na kina nani tuu....
Aubameyoung walisema ni mtukutu pia lakini cha ajabu maisha yanasonga tuu pale north London....
Dembouz ni mtoto mdogo sana kwa Konki Konki Konki Unai Emery Master.... Aje tuu
Baba sasa kwann hukushinda? Kwann mpaka utiwe na kuja kuchomoa dakk za mwisho. Muda wote huo ulikuwa unacheza nn hukushinda?Kamuulize kocha wako, had dk za mwisho anakenua meno ,anafanya sub apoteze muda ,maana watoto wa london walikuwa wanakuja kama nyuki
Ulicheki mechi????Liverpool Hakuamini alichokiona wakati mechi yenu ya nyumbani na Liverpool ndio ilitoa proof kwamba mna hali mbaya au umeshasahau kuwa nyie ndio mlikuwa mnapigania walau point moja tokea nyuma baada ya Milner kuwawasha