jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 531
Ila hizi ni zama mpya chini ya kocha mpya.... Fikiria zaidi ya miaka kumi hatujawahi kucheza mechi zaidi ya kumi mfululizo bila kufungwa. Ni msimu huu tu ndo tumeweza... Na ndo maana naamini kuwa tutakuwa na matokeo mazuri tu kwa upande wetu leoNgumu sana,kumbuka timu zinazotusumbuaga ni liva,beryen,man u na msimu huu liva wako onfire so kuwafunga yahitaji nguvu ya ziada
View attachment 920407
COYG....[emoji1548][emoji1548]
Hapo tunakosa mtu wa pasi ndefu tu, Ramsey alikuwa muhimu kuanzaNikiangalia game ya Leo nikikumbuka na game yetu ya Mwanzo na Man City naona kuna mabadiliko makubwa sana...
Timu ime-improve sana..
Mkuu Hawa akina Ramsey acha waondoke tu Unai alete wachezaji anaohitaji....Yaani Ramsey alipwe 200k per week??Hapo tunakosa mtu wa pasi ndefu tu, Ramsey alikuwa muhimu kuanza
Unadhan rahisi?Nipigieni liva hao
Umeongea point kiongoziMkuu Hawa akina Ramsey acha waondoke tu Unai alete wachezaji anaohitaji....Yaani Ramsey alipwe 200k per week??
Unamuona Torreira anachofanya hapo Kati?
Hapo tunakosa mtu wa pasi ndefu tu, Ramsey alikuwa muhimu kuanza