Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mkuu achana na hadithi, hili swala lilifutwa mwaka huu. Asipocgeza nitakuwa nae apa kwa mworombo tunakula bia na nyama ila sio sababu ya kadi
 
Umeongea ukweli tupu kumbe sometime akili zinakuepo! Liverpool sisi hatuna matokeo tofauti na ushindi, point 3 muhim!
 
Umeongea ukweli tupu kumbe sometime akili zinakuepo! Liverpool sisi hatuna matokeo tofauti na ushindi, point 3 muhim!
Klopp kuhusu mechi ya fainali ya Europa 2016 dhidi ya Emery: "Tulianza vizuri tu na tuliutawala mchezo. Kipindi cha pili walipata bao la mapema kisha wakashika kasi na hatukuweza kurudi mchezoni. Ilikuwa mechi yetu ya 63 ya msimu, tulipoteza mchezo na sasa imebaki historia.”

Kesho asubiri kichapo tena
 
Akirudi tena tutamuita makonda
 
Angalia kipindi hicho klopp alikua amerithi liverpool yenye wachezaji wepi na huyu UnaiBall alikua amesha win back to back ya europa 2x na kikosi kizuri tu
 
Angalia kipindi hicho klopp alikua amerithi liverpool yenye wachezaji wepi na huyu UnaiBall alikua amesha win back to back ya europa 2x na kikosi kizuri tu
Klopp kuhusu mechi ya fainali ya Europa 2016 dhidi ya Emery: "Tulianza vizuri tu na tuliutawala mchezo. Kipindi cha pili walipata bao la mapema kisha wakashika kasi na hatukuweza kurudi mchezoni. Ilikuwa mechi yetu ya 63 ya msimu, tulipoteza mchezo na sasa imebaki historia.”

Kesho subiria kichapo tena

Nafikiri hiki ndicho alicho qoute AROON kuhusu klopp
 
View attachment 919917
Tuko kwenye wakati wenye mafanikio kwa kiasi fulani baada ya kupoteza game 2 za mwanzo tumekua na mwenendo nzuri kwenye ligi.
Game zetu na Liverpool zimekua za upande mmoja recently hawa jamaa wanatupa wakati mgumu sana toka 2016 hatujawahi kupata matokeo chanya zaidi ya draw mbili angalau game ya mwisho tulipambana sana tukapata draw ya 3-3.
Leo wanakuja Emirates bado nina mashaka na nidhamu yetu kwenye mchezo hasa kipindi cha kwanza tunavyocheza na Liva wanajua hasa ku-press tena kwa muda mrefu naiona backline yetu ikiwa kwenye mtihani leo toka kwa ile best trio,eneo la kiungo ndio msaada wetu leo endapo likitulia tukawapoza basi hata backline yetu itapumua na kujipanga.
Katika timu ninazotamani kuzifunga duniani kwa sasa ni Liverpool,Man Utd na B.Munich(hawa hata friend match tu
) sababu yangu kubwa ni vile nimeshuhudia tukiwa humiliated na hawa jamaa,Liva game 5 za mwisho(head to head) hatujashinda,draw 2 na tumepigwa 3 leo tunatakiwa kufuta hii kitu nina imani Unai atakua chachu kwenye hili ila honestly hata tukipata draw mimi nitakua na w'end yenye amani.
 
Njia rahisi ya Kumfunga Liverpool Leo Unai atazame Line-Up ya Liverpool, Iwapo Klopp Atampanga CB Lovren basi Achezeshe Striker ambaye Ni Mzuri kwa Mipira ya Hewani halafu huyu Striker asiondoke alipo Lovren na Cross zote Ziwe Zinadondoshewa alipo Lovren nakuhakikishia Striker ataondoka na Hat Trick kwani Lovren Hajawahi Kuwin Aerial duel.
Na iwapo Na 6 atacheza Fabinho basi Arsenal isijekutumia Mipira mifupi kutaka Kupita kati Bali itumie Mipira Mirefu kwani Alipo Fabinyo Gini huwa yupo Pembeni Yake Kuzuia Failed Tackle ya Fabinho.
 
Swali ambalo wengi tunajiuliza ni je Arsenal ina uwezo wa kuifunga Liverpool leo au hata kutoa sare

Kwangu mkitoa sare tu nitashukuru au mkinichinjia kabisa hicho kijogoo mi Nakuja kunywa supu tu nyama nawaachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…