Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Emery: “We have a clear captain. Every player is very important. I think he [Özil] can play every match with this commitment whether he’s captain or not.”
 
1st Goal - Ozil > Bellerin > Ozil
2nd Goal - Ozil > Bellerin > Auba
3rd Goal - Laca > Ozil > Auba
Germany must know what is Ozil Effect
Our assist king is back.
Oil anafanya hivyo kuwaonesha ujerumani waliosema kachuja hadi kaamua kujitoa NT sasa zitapigwa pasi za kufa mtu sana. Hata hivyo hii ya leo ilikuwa tafu game. Ukweli tumeanza kukamiwa sana na kila timu kama ambavyo nasi tumekomaa kila game kama fainali. MUNGU ibariki timu yetu ya arsenal.
 
Oil anafanya hivyo kuwaonesha ujerumani waliosema kachuja hadi kaamua kujitoa NT sasa zitapigwa pasi za kufa mtu sana. Hata hivyo hii ya leo ilikuwa tafu game. Ukweli tumeanza kukamiwa sana na kila timu kama ambavyo nasi tumekomaa kila game kama fainali. MUNGU ibariki timu yetu ya arsenal.
Na ana wanyoosha adabu
 
Jana sijajutia usingizi wangu...Shikamoo Ozil daaah sio kwa pira lile aisee ukisikia Sexy football ndo ile sasa jana
Mpaka naingia kwenye pepa asubui kila swali natamani niandike Mesut Ozil
IMG-20181014-WA0006.jpeg
 
Xhaka jana kipindi cha kwanza kazingua sana Torreira ndo alimsovia makosa yake mengi jana Torreira kakata kila nyaya yeyote ile...mm naona Ramsey na Eleny wakisepa tulete DM mwingne coz Torreira anaweza cheza hata box-box na yule Guendouzi atakuja kuwa world class mido.
IMG-20181023-WA0005.jpeg
 
RATING

1. Leno
Huyu jamaa anaanza kunishawishi kwann anatakiwa kuanzishwa badala ya *peter* kwa mfumo wa mwl anataka kipa wa kuanzisha mpira nyuma na kwa makipa wa kijeruman sina shaka nao. Jana alifanya vzr sana, anaanza kujiamin sasa
8/10

2. Berrelin
Huyu jamaa anaonekana tofauti na yule wa wenga, kipindi kile alikuwa vizr katka kukaba na cross zake zilikuwa mbovu, ila sasa anaonekana sio makini sana katka kulinda hili swala la kushambulia yuko vizur alicheza vzr sana tuachane na goli la kujifunga
6/10

3. Leichteiner
Jana hakuwa vizr kabsa mipira mingi iliarbikia kwake, naic ugeni wa ligi na namba aliochezeshwa pia goli tulilofungwa kosa lilianzia kwake, alikuwa flop of the match
3/10

4. Holding
Huyu jamaa anajiamin sana, yaani anaweza kufanya kosa usiamin kama kufanya yeye, ila jana alicheza vzr sana
6/10

5. Mustafi
Sasa hivi hii ndo nguzo ya timu, akipotea huyu beki imeyumba, alifika maeneo muhimu ambayo alitakiwa kufika na kwa wakat sahihi
8/10

6. Torreira
Moja kati ya sajili bora msimu huu ni huyu dogo, alifanya alichojisikia kufanya timu icheze vzr na kubalance angekuwa na mwili mkubwa ningesema *song* mpya
9/10

7. Mick
Naona kama formula ya mwl inamshinda maana anachelewa sana kufanya covarage, alikosa magoli mengi
5/10

8. Xhaka
Future captain, jamaa anacheza vizr jana kanipa option nyingine kwamba anaweza cheza beki ya pemben
8/10

9. Lacazette
Ukifatiliwa kwa makini utajua kwann anaanza mbele ya auba, jamaa anajua kukaba timu ikiwa haina mpira, jana ni bahati ndo haikuwa upande wake hili afunge goli alicheza vzr
8/10

10. King Ozil
Captain, huyu jamaa aliamka vzr jana, au sijui huwa ana visa na wale jamaa maana kila tukikutana nao anakuwa vzr sana na aliupiga mwingi *man of the match.
10/10

11. Iwobi
Jay jay okocha uncle, real jamaa anajua ila kuna wakat anakosa kujiamin naic ni ushindan wa namba. Kacheza vizr jana
8/10

Sub
1. Mateo
Hili ujue kazi ya ukocha ni ngumu pewa mahala pa unai halaf una viungo alionao pale, halaf chagua nan aanze mwingine asubir benchi. Jamaa anajua ila naic ugeni katka ligi ndo unamweka benchi
5/10

2. Auba.
Huyu sasa hv ni supsub, hana mambo mengi yy ni kuweka kamba, anajua kujiposition vizr
5/10

3. Ramsey
Aliingia kufanya timu itulie tu kazi ilikuwa imeisha
3/10



My opinion
 
GOOD MORNING BOSS, UNAI EMERY!

Napenda sana kocha wetu kabla ya kuanza kuongea na press lazima asalimie: GOOD EVENING!
 
Napenda tu ule Mfumo wa 4-2-2-2 Wakati Tukishambulia Yaani Cross za Wing back kina Belerin lazima Goli ziwepo
 
*Arsenal vs Foxe's* analysis sum up.


Kwa usiku wa Jana ilikuwa game ya epl kati ya arsenal na leisecter city mechi iliyokuwa inakamilisha mzunguko wa round ya 9 msimu huu na mechi ilimalizika kwa arsenal kushinda kwa 3-1 kitu kilichoifanya timu ya arsenal kupanda mpaka nafasi ya 4 kwenye ligi wakiwa sawa point 21 na Chelsea wakiwa na utofauti wa magoli mawili tu na Chelsea aliyeko nafas ya tatu.

*Nlichokiona game ya Jana kwa ukaribu zaidi kutoka kila idara za timu ya arsenal*



1: *ulinzi*

Kwa upande wa arsenal Jana walicheza vzuri sana hasa kipindi cha pili ...mwanzo walikuwa wakiruhusu mashambulizi kutokana na jinsi walivyokuwa wanajipanga *ila* hapa nadhan n kwa sababu Jana ukuta ulikuwa na mgeni ambaye alionekana kupoteza mipira mingi na huyu n *Stephen lechsteiner*, hector alijifunga lilikuwa kosa kubwa kwenye game ila baadae akatulia akarudi mchezon na naweza kusema kwa sasa tunamshuhudia hector yule wa miaka 18-20 ambaye alikuwa hana nywele ndefu.
*Mustaf* hapa unaweza ukasema kwann jamaa hakucheza hivi msimu uliopita maana kwa sasa anacheza vzur sana kwa akili na hesabu kubwa kwa muda husika na nadhan n kwasababu anacheza na *holding* ambaye n natural back #5 dogo n suala LA muda apate uzoefu maana n beki bora sana ,anatumia akili sana zaid ya nguvu na anajiamin sana kuliko miaka yake.



*viungo*

Siri nzito sana za familia zinatunzwa chumba cha nyuma na.hili kwa arsenal hii hapa ndo kuna utajiri mkubwa wa mafaniko. Ukitaja hapa kila MTU anamtaja *Xhaka na toreira* hawa watu nliwahi zungumza juu yao naomba Leo nsizungumze sana ila kwa kazi wanayofanya wawili hawa kuwalinda mabeki n kubwa sana nadhan kuliko hata MTU yoyote ...compation ,solidarity ,aggressive vinawafanya kwa sasa iwe midfielder zone ambayo iko solid sana....hii zone imeweza kushindana na zone hatari EPL kwa sasa mfano decoure na bamba.....ndidi na Mendy... Devi's na sigurson nk hili wote wameshindwa hapa



*washambuliaji*

Iwobinho a boy from abuja n MTU mpya alicheza vzuri sana Jana anajua kukaba SKU hizi ,anajua kudrible ,anajua kuassist kwa wakati Jana kipindi cha kwanza hakuwa vzur ila baadae alitulia tukashuudia ubora wake,

Mikh ...huyu jamaa bado kidogo kasi ya wenzake inamtesa hajawa vzuri kama yule wa Wenger ila nae anacheza vzur sio haba.

Ozil ....sina neno n MTU mpya ambaye mm nlikuwa nkimjua toka Madrid

Lacazete n mpambanaji kila muda hachoki yaan anakupa options nyingi na ndo maana cku hizi amekuwa akianza kila game na ana impact kubwa sana kwa matokeo ya timu .

Auba sup sub
Ramsey sub special
Matteo clinical sub

*#unai master tactics*
 


Miongoni Mwa Wachezaji 5 ninaowapenda Zaidi:

1) Ozil
2) Hazard
3) Gomez
4) Martial
5) Mbappe

Miongoni mwa Wachezaji 5 ninaowachukia Zaidi

1) Ronaldo
2) Ronaldo
3) Ronaldo
4) Henderson
5) Lovren
 
Back
Top Bottom