Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna katabia wale wachezaji under AW wanako, kanaudhi mno, kanakera mpaka washindwa kumeza mate, wanapoondoka tu Arsenal, ghafla wako serious na kucheza mpira wa maana, wa kujituma, tunamshuhudia Theo Walcott leo!
mother***kers, ndorobo kabisa hao..
 
Walcot anataka ku-justfy kitu lakini Nacho Monreal yupo macho anamdhibiti.

Si unafahamu ukiweka mzigo ndani ya kikapu?
 
Ramsey out

Welbeck in

11 minutes to go

Arsenal 2 Everton 0
 
Arsenal are winning games when playing badly. Top teams find a way to win even when playing badly.

Mesut Ozil haonyeshi kucheza kwa bidi kabisa sifahamu amekumbwa na nini!

Nadhani siku si nyingi Unai Emery atakuwa akimweka bench.
 
That means winning mentality, kuna haja gani kucheza vizuri afu tufungwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…