Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii ni aibu

Hii timu katika mechi zake zote 10 za Europa, haijawahi kushinda hata mechi moja.
 
Manure hoi nyumbani, naangalia Spuds sasa, draw au wakifungwa siku itaisha vizuri mno...
 
Hivi kumbe uwanja wa emirates sio wa arsenali Bali unamilikiwa na fly emirates
 
Hivi kumbe uwanja wa emirates sio wa arsenali Bali unamilikiwa na fly emirates
Emirates ni wadhamini wakuu. Uwanja ni mali yao lakini kuna sheria za makampuni ambazo watu hufungua kampuni nje ya kampuni ili kusimamia nakulinda mali zake zisiporwe kirahisi na serikali au umma.
Wasio na viwanja pale ni Chelsea.
 
Hivi kumbe uwanja wa emirates sio wa arsenali Bali unamilikiwa na fly emirates
Naming rights. Na ukomo wa kuitwa hivyo ulikuwa msimu wa 2016/2017 ila jamaa wa Emirates kwa ajili ya kutangaza biashara waliongeza mkataba wa naming right baada ya uke wa awali kumalizika.

Jina la uwanja hii sakata la pesa likiisha utaitwa ASHBARTON GROVE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejibu vizuri mkuu ila hapo mwishoni kwenye paragraph ya kwanza nadhan ulimaanisha "ule" na si "uke"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…