McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Mkishindwa tena leo basi team hamnaLeo wale wagonga nyundo tuna wakalisha mapema..,
Our squard against wagonga nyundo wa london ila bado najiuliza kwanini Unai hataki kumuanzisha Torreira all in all yeye ndiye mwenye maamuzi.View attachment 846720
Let's hope for the best mkuu, huenda anachoona sisi hatukioni. Hopefully leo tutatoka kifua mbele.Hata sielewi game plan ya Unai so far maana game zote mbili tumeona nini kinatokea ila bado hataki kumuanzisha Torreira na Lacz acha tuone itakuaje.
Yah ngoja tusubirie dk90Let's hope for the best mkuu, huenda anachoona sisi hatukioni. Hopefully leo tutatoka kifua mbele.
Ligi haitabiriki hii, kibonde aweza kumchapa anayeongoza ligi.Leo Wakati Muna Kibonde itabidi Mujilipe Machungu Kwa Kukipiga Nyingi.
Tatizo uwezo!Leo Wakati Muna Kibonde itabidi Mujilipe Machungu Kwa Kukipiga Nyingi.
Leo Wakati Muna Kibonde itabidi Mujilipe Machungu Kwa Kukipiga Nyingi.