Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wewe hasira za Arsenal zitakuja kuishia kwako. Hata uwe na kikosi bora vip kuifunga arsenal kwako huwa ni mtihani.
Uyo Keita na Fabihno watafanywa mboga
Huo ni utafiti wako lakini hilo linategemea na aina ya ligi na uwezo wa timu moja moja. Timu inaweza poteza mechi hata zaidi ya hizo na ikawa bingwa. Arsenal msimu wa 2003/2004 hakupoteza hata mechi zaidi ya sare 2 lakini bado hakupishana sana pointi na mtu wa pili. Uingereza timu zote ni nzuri hivyo hakuna ushindi wa mteremko kiasi hicho.
Timu zote zitachezea kichapo kama ilivyokuwa mwaka jana tu hakuna aliyepona.
Mnashangaa kwa kuwa arsenal ndiyo kigogo wa kwanza kula kichapo bila kujua kuwa anayeanza kucheka mwishoni ndiyo Julia na anayeanza kuhuzunika mwishoni ndiye hufurahi. Naiona arsenal ikibeba kombe haya ni maoni yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu hana jema. Kila timu uingereza imepitia wakati mgumu hata ya kwako unayoshabikia.Wakati wewe ukiendelea kujipanga, sisi tunaendeleza ushindi.
Mrudisheni Wenger mapema kabla mambo hayaja haribika.
Bado nacheka mkuunategemea wikiend kuwa mbaya kwako.
Nina uhakika leo huchomoki.
Kwann nisiwaze ubingwa kwani aliyetangulia ameshafika tayari mbona bado. Ninapata tabu kuwaelewa mnapotangaza ubingwa kwa timu zetu kwa ushindi wa game mbili za awali hivi mnatoka sayari gani nyie.Mechi ya kwanza kufungulia ligi umepigwa ya pili umepigwa unawazia ubingwa wakati hao mabingwa huwa wanakuwa wameshalose hizo mechi mbili baada ya long successive run for the Title !
Kwann nisiwaze ubingwa kwani aliyetangulia ameshafika tayari mbona bado. Ninapata tabu kuwaelewa mnapotangaza ubingwa kwa timu zetu kwa ushindi wa game mbili za awali hivi mnatoka sayari gani nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajua Arsenal ni timu ambayo ilikwisha zoea falsafa za kocha mmoja kwa muda mrefu, yani Wenger ..kiasi kwamba bdo wachezaji wengi wanacheza kiwenger.Binadamu hana jema. Kila timu uingereza imepitia wakati mgumu hata ya kwako unayoshabikia.
Bado arsenal ni timu imara na wengi mnaumia kwa kuwa mnajua wazi kwa jinsi ilivyo sasa na uwezo wa huyu kocha mazuri mengi mashabiki watafaidi.
Leceister akichukua ubingwa aliwagonga vigogo wote na alipigwa game tatu tu mbili arsenal ndani nje na Liverpool moja lakin hatukuwazodoa.
Timu haiiwi bingwa kwa kushinda game mbili tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu hana jema. Kila timu uingereza imepitia wakati mgumu hata ya kwako unayoshabikia.
Bado arsenal ni timu imara na wengi mnaumia kwa kuwa mnajua wazi kwa jinsi ilivyo sasa na uwezo wa huyu kocha mazuri mengi mashabiki watafaidi.
Leceister akichukua ubingwa aliwagonga vigogo wote na alipigwa game tatu tu mbili arsenal ndani nje na Liverpool moja lakin hatukuwazodoa.
Timu haiiwi bingwa kwa kushinda game mbili tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa kesho uko na nani mkuu.Mimi Leo Sipo Uwanjani! Leo Labda Umsubiri City & Manure
Mimi Nipo Kesho SAA 4 USIKU
Kesho Hata Nisichomoke Mimi Ni Mwanamichezo Nitahesabu Ndiyo Sehemu Ya Mchezo
Ni sawa lakn kwa kocha wa arsenal hawezi kuchukua muda mrefu kwani kikosi kina nusu ya wachezaji wageni aliosajili yeye na wengine wa zamani anaowaunganisha pamoja.Mkuu unajua Arsenal ni timu ambayo ilikwisha zoea falsafa za kocha mmoja kwa muda mrefu, yani Wenger ..kiasi kwamba bdo wachezaji wengi wanacheza kiwenger.
Kuja kwa Unai Emery ina maana anakuja na falsafa mpya kabisa ..sasa inakuwa ngumu kuwa applied kwa wachezaji
Ukicheki Timu ni uwezo binafsi wa wachezaji ndo unaisaidia isifungwe goli nyingi. Bado hakuna ile team work ya wachezaji ..ila kama akifanikiwa kuwaweka pamoja angalau kwa msimu huu basi arsenal itakuwa ni timu nzuri sana yenye ushindani.
Refer kwa klabu ya man u baada ya kuondoka kwa Alex fargason timu mpk haijapata kocha wa kuvaa viatu vyke. Liverpool yano baada ya kuondoka kwa Rafa Benitez mpk sasa angalau wamejitahidi kuijenga timu chini ya Klopp. Lakini iliwachukua muda ..tofauti na klabu kama Chelsea ambayo imekuwa utamaduni wa kocha kukaa muda mfupi klabuni kiasi kwamba wachezaji wamezoea iyo khali. Sasa inakuwa haileti effect sana kwa wachezaji pindi akija kocha mpya.
Usiishi kwa kukariri timu hizo zote ulozitaja zilishachezea kichapo kwa arsenal si mara moja kwa nyakati na musimu tofauti. So sisi hatutishwi na mbwembwe za mtandaoni.Hapo bado Manchester na liverpool haujacheza nao na ni lazima wakupige
Marehemu aligoma kumeza dawa akiamini kua atapona tu kimiujiza!😛😀
Kwani nafasi ya kumi cha ajabu nini apo???,while msimu jana tulimaliza wa sita , tunachotaka sisi ni kocha kuelewana na timu yake kwanza.Okay mwache andelee kuzisoma team pinzani. Pindi akimaliza kuzisoma league imeisha yupo nafasi ya kumi. Wenzao walishamaliza topic zote yeye bado ndio anatafuta madesa. Shauri yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka utakua mganga wa kienyeji,Kwa uzowefu wangu ili team iwe bingwa au hata kuwepo kwenye top four angalau isifungwe mechi zaidi ya tano kwa msimu na draw angalau chini ya kumi.
Sasa ngugu zetu Ass anal mpaka sasa mechi mbili za league mmeshapoteza. Mtakuwa waja wa nani jamani msimu huu? Mbona mnaanza kututia mioyo ya huruma mapema namna hii
Hapo bado hamjacheza na Liverpool, Man U, Spurs achilia mbali kabisa Fulham ambao jana pamoja na Spurs kuwafunga ila spurs wamelala na viatu hoi mpaka sasa hawajaamka.
Arsenal mpaka mechi kumi za mwanzo zinaisha mtakuwa mmeshapoteza sio chini ya tano na draw mbili. Hapo mtakuwa na point 11 tu wastani wa point moja kila mechi. Ntakuwa na tofauti gani na Stoke City sasa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu katika gemu kumi za mwisho ulizokutana na arsenal wewe umeshinda Mara 4 arsenal ikishinda Mara 2 uku mkitoka suluhu Mara 4.Hii post Sizani Kama umeiandika Ukiwa na Akili Zako Timamu.