Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,586
- 81,548
Kwa uzowefu wangu ili team iwe bingwa au hata kuwepo kwenye top four angalau isifungwe mechi zaidi ya tano kwa msimu na draw angalau chini ya kumi.Uonavyo wewe ktk mechi tano za mwanzo atamaliza hiyo kazi. Kuanza kufungwa siyo tatizo tatizo ni kuendelea kufungwa kila mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni utafiti wako lakini hilo linategemea na aina ya ligi na uwezo wa timu moja moja. Timu inaweza poteza mechi hata zaidi ya hizo na ikawa bingwa. Arsenal msimu wa 2003/2004 hakupoteza hata mechi zaidi ya sare 2 lakini bado hakupishana sana pointi na mtu wa pili. Uingereza timu zote ni nzuri hivyo hakuna ushindi wa mteremko kiasi hicho.Kwa uzowefu wangu ili team iwe bingwa au hata kuwepo kwenye top four angalau isifungwe mechi zaidi ya tano kwa msimu na draw angalau chini ya kumi.
Sasa ngugu zetu Ass anal mpaka sasa mechi mbili za league mmeshapoteza. Mtakuwa waja wa nani jamani msimu huu? Mbona mnaanza kututia mioyo ya huruma mapema namna hii [emoji24] [emoji24]
Hapo bado hamjacheza na Liverpool, Man U, Spurs achilia mbali kabisa Fulham ambao jana pamoja na Spurs kuwafunga ila spurs wamelala na viatu hoi mpaka sasa hawajaamka.
Arsenal mpaka mechi kumi za mwanzo zinaisha mtakuwa mmeshapoteza sio chini ya tano na draw mbili. Hapo mtakuwa na point 11 tu wastani wa point moja kila mechi. Ntakuwa na tofauti gani na Stoke City sasa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan wewe jinsi unavyoidharau Chelsea nazifi kukuvutia kasi. Naomba tu usije ukakimbia kama hawa Arsenal walivyokimbia uzi wao.You cant beat even legless Chelsea defense ndiyo mcheze na MAJOGOO yenye beki imara kwa sasa duniani?
Lkn jana kawaangusha sana Aube,Mikhi na Ilwobi
Wanakosa mabao ya ku press tu kufunga
Poleni sana lkn ndiyo soka!
Bado unathubutu kusema kama HUYAOGOPI MAJOGOO?
Marehemu alikua na mdomo sanaNgoja nifariji wafiwa si vizuri kupita bila kutoa pole poleni jamani hivi marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?
Kula kichapo kawaida kwa kila team lakini ukiwa wa kuchapwa na kila mtu mzee hutoboi. Hapo umetandikwa na wababe bado kuna vitimu vya mchangani vinasubiri kuchukua ujiko kwako. Mwaka huu ass anal mbona mtakonda zaidiHuo ni utafiti wako lakini hilo linategemea na aina ya ligi na uwezo wa timu moja moja. Timu inaweza poteza mechi hata zaidi ya hizo na ikawa bingwa. Arsenal msimu wa 2003/2004 hakupoteza hata mechi zaidi ya sare 2 lakini bado hakupishana sana pointi na mtu wa pili. Uingereza timu zote ni nzuri hivyo hakuna ushindi wa mteremko kiasi hicho.
Timu zote zitachezea kichapo kama ilivyokuwa mwaka jana tu hakuna aliyepona.
Mnashangaa kwa kuwa arsenal ndiyo kigogo wa kwanza kula kichapo bila kujua kuwa anayeanza kucheka mwishoni ndiyo Julia na anayeanza kuhuzunika mwishoni ndiye hufurahi. Naiona arsenal ikibeba kombe haya ni maoni yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubishana na wewe wakati hata timu yako siijui ni kupoteza muda.Kula kichapo kawaida kwa kila team lakini ukiwa wa kuchapwa na kila mtu mzee hutoboi. Hapo umetandikwa na wababe bado kuna vitimu vya mchangani vinasubiri kuchukua ujiko kwako. Mwaka huu ass anal mbona mtakonda zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazikwa mzimamzima ili kumkomesha
Hata kwenye jeneza hatukumuweka. Tulitupa tu.Kazikwa mzimamzima ili kumkomesha
[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji3] [emoji3] shululu kumbe we ni arsenal
Pole sana mkuu
E&K
KWA VICHEKESHO KAMA HIVI TUMA NENO UNAI KWENDA NAMBA 3-2Kocha anahitaji muda, hizi mechi mbili tulizocheza bado sio kipimo halisi cha kocha. Natumai mwalimu ameyaona mapungufu ya timu yake kuliko mimi na wewe ambao hatuna taaluma hiyo ya mpira hivyo atayafanyia kazi.
Bado nacheka mkuu[emoji3] [emoji3] nategemea wikiend kuwa mbaya kwako.Ndiyo nipo nashuhudia Kinachoendelea! Vipi bado Uncheka? Au Nikucheke Mimi? πππ
Wewe hasira za Arsenal zitakuja kuishia kwako. Hata uwe na kikosi bora vip kuifunga arsenal kwako huwa ni mtihani.You cant beat even legless Chelsea defense ndiyo mcheze na MAJOGOO yenye beki imara kwa sasa duniani?
Lkn jana kawaangusha sana Aube,Mikhi na Ilwobi
Wanakosa mabao ya ku press tu kufunga
Poleni sana lkn ndiyo soka!
Bado unathubutu kusema kama HUYAOGOPI MAJOGOO?
Wakati wewe ukiendelea kujipanga, sisi tunaendeleza ushindi.Mashabiki wa arsenal mnatakiwa kuwa na subira. Timu haipimwi kwenye friend match. Huyu kocha ni mzuri. Wachezaji wengi hawajui na sasa ndo wamekusanyika anawapima ndiyo maana kila mchezaji amepewa nafasi na amemjua.
Hiki kikosi cha arsenal mwisho wa msimu ndiyo kutakuwa kikosi bora. Mnakuwa na papara kama mashabiki wa Man u.Tunaoelewa mifumo ya makocha tunajua kinachoendelea.
Game hii ya chelsea ni kama ile tu ya man city wachezaji wanatengeneza nafasi nyingi lakin hazitumiki ipasavyo.
Kocha kwa sasa ameshaona viungo wa kuwatumia strong match na wale wa kutumia ktk match za kawaida. Tshaka ni kiungo bora but hana consistency ya kulinda kiwango chake compared na Tolleira na Guendozi ambao wanaonekana ni mwiba wakati wowote.
Chelesea last five game hajachomoka mbele ya arsenal just imagine hata game hii katoka kimiujiza.
Tunaye kocha bora pia tunao wachezaji bora huwezi kutoa tathmini ya kocha kwa mechi mbili tu ni vigumu mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapange wewe ili wasiwe wazembe tena[emoji3] [emoji3] [emoji3]Lacazatte,aubemayang,mkhitaryan na ozil wakikaza timu ipo safi hata mech ya city hizo njemba zungekuwa makin mambo yangekuwa tofaut sijui kwa nini wanakuwa wazembe