McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Xhaka na Mkhitaryan waliflop sana mechi iliyopita. Nilidhani Toreira na Lacca wangeanza mechi hii. Ngoja tuone
We need to deploy Lacz and PEA kwa wakati mmoja,sielewi kwa nini Torreira yuko bench simply naiona kama weak line-up inawezekana ni kitete changu pia maana mwalimu anajua nini anafanya.
