Game ngumu ingawa imekosa muunganiko labda pressure ya big match.
Goli tulilofungwa ni makosa ya defence yetu ambayo kama hawata jirekebisha tutafungwa goli lingine.
Arsenal hawajatulia .kitete cha mechi ya kwanza kwa kocha mpya ndicho kinawapa shid. Beki ya Man city ipipo open ni Arsenal wenyewe hawaonani mwishoni .
Nina uhakika wewe ni mgeni kwenye huu uzi,mashabiki wa Arsenal hawana hicho ambacho unadhani utakipata unaweza ukajikuta unatania na kurusha vijembe wiki nzima watu kimya kuna threads za kushambuliana na kutukanana.
Pole chief hapa utaona updates tu bila kujali matokeo alafu watu wanapotea zao mpaka siku ya game.