Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Leo niko upande wenu koz wote tunatoka London ..ila next wikend utanisamehe lazima nikupige tu. Maana hakuna namna.
Leo tuko pamoja gemu itaisha 2-I ..Unai atashinda
Mkuu leo Arsenal atadhihirisha ubovu wa man city.. ni lazima apigwe tuUnataka Arsenal Ashinde ili Man City apunguziwe Points ikisha Chelsea awe bingwa?
Wacha Kujipa Tamaa za Uongo Mkuu Huna Timu Ya Kuchukua Ubingwa Mbele Ya Man City.
Mkuu leo Arsenal atadhihirisha ubovu wa man city.. ni lazima apigwe tu
Kama Wewe unaweza kumfunga kwanini mimi nishindwe?
Man city hana ubavu wa kubeba ligi mara mbili mfululizo, kama ulivyotabiri bingwa atakuwa ni "timu kutoka London" na mbabe wa London huwa ni Chelsea.
Vinginevyo kombe haliwezi kurudi tena kwenye mji wa Manchester na pia kwenda mji wa Liverpool itakuwa ni ndoto.
Tupo mkuu sema tumejisogeza runingani ili kumshuhudia city anavyouwawa.
Humu mbona naona wageni pekee,wenyeji mpo wapi?
Mkuu leo Arsenal atadhihirisha ubovu wa man city.. ni lazima apigwe tu
Kama Wewe unaweza kumfunga kwanini mimi nishindwe?
Man city hana ubavu wa kubeba ligi mara mbili mfululizo, kama ulivyotabiri bingwa atakuwa ni "timu kutoka London" na mbabe wa London huwa ni Chelsea.
Vinginevyo kombe haliwezi kurudi tena kwenye mji wa Manchester na pia kwenda mji wa Liverpool itakuwa ni ndoto.
Huu msimu nakupiga Wewe na man City nje ndani.Sababu Ya Kuwa Man City ndiye Bingwa Msimu huu! Nikwamba Ni Liverpool pekee ndiye Kwenye Uwezo Wa Kumfunga Man City, Muliobakia Nyote Hamuna uwezo Wa Kumfunga.
Sasa Liverpool pekee Hata Akimfunga Man City itabakia Kuwa Ni Vigumu Timu kumzuia Man City asibebe Ubingwa.
Kama Hamtaki awe Bingwa basi na Nyinyi mfungeni.

Huu msimu nakupiga Wewe na man City nje ndani.
Tupo mkuu sema tumejisogeza runingani ili kumshuhudia city anavyouwawa.
Msimu uliopita vs Man city mechi za ligi ulifungwa moja, ukashinda moja, hii ndo reference unayorefer kwenye kuchukua ubingwa???Sababu Ya Kuwa Man City ndiye Bingwa Msimu huu! Nikwamba Ni Liverpool pekee ndiye Kwenye Uwezo Wa Kumfunga Man City, Muliobakia Nyote Hamuna uwezo Wa Kumfunga.