Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wekeni vigezo vya ubora wa ligi tupime hapahapa ubishi uishe
Perfomance za timu ktk mashindano ambayo hukutana kama UCL, europa, nani hufanya vizuri zaidi hata kufika mbali na pia wachezaji wa ligi hiyo wana mchango gani ktk timu zao za taifa.
 
mfano mzuri SEVILLA,VALENCIA,VILLAREAL,REAL SOCIEDAD na ATHLETIC CLUB zikikutana na hizo top club za epl mziki wake mnene
 
Pumba.
 
mfano mzuri SEVILLA,VALENCIA,VILLAREAL,REAL SOCIEDAD na ATHLETIC CLUB zikikutana na hizo top club za epl mziki wake mnene
mkuu kwan barca na Madrid zikikutana na hzo timu tajwa mziki wake unakuwaje..
 
Perfomance za timu ktk mashindano ambayo hukutana kama UCL, europa, nani hufanya vizuri zaidi hata kufika mbali na pia wachezaji wa ligi hiyo wana mchango gani ktk timu zao za taifa.
kwa mantiki huyo,naona la liga pekee ndo aliyemzidi EPL.
 
Kwani Mani yuu nao wanaongea humu ndani?? Wakae kimya tuu pamoja na kuwa na kikosi chenye wachezaji bora hata kombe la mbuzi hawajapata kama aseno tuu, kutoka makombe matatu msimu iliopita mpaka makombe bashite bora wakae kimya kuliko kujifanya mnamchambua Emery wetu
 
cc tuna community shield mkuu
 
Lichtsteiner was at Colney holding talks with [HASHTAG]#AFC[/HASHTAG] earlier today. Deal is not done yet and the next few hours will be decisive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…