Against european leagues! Unai has coached Seville in Spain with a shoe string budget but he managed, so he shouldn't be judged based on PSG only.EPL is overrated against Ligue 1 ?
Pep amekiri nj ngumu kuchukua ubingwa EPL ukilinganisha na Spain & GermanyEPL is overrated.
Toka watu waseme Guardiola atanyooshwa kisha msimu wa pili tu yeye ndio kawanyoosha, nimeiona epl ni ligi inayokuzwa sana na media za uk.
Yuko EPL sasa lazima atasema hivyo, huu ni msimu wake wa pili tu ila kabeba ndoo kwa kufikisha point 100 na anayefuata ana 81, msimu wa kwanza kaingia champions ligi. hapa haihitaji sayansi kujua anasema kweli au la. EPL no mdebwedo.Pep amekiri nj ngumu kuchukua ubingwa EPL ukilinganisha na Spain & Germany
acha wivu wa kike wewe,unawapangia watu miaka ya kuchukua makombe wewe Mungu?Mkuu Emery/Jardim/Tuchel ni mmoja ya makocha wanaowafaa kwa sasa ndio maana niliwaambia Arteta hafai, nachopingana na baadhi wanaotegemea Emery anaweza chukua EPL kwenye hii miaka 3 in reality hawezi kuchukua ubingwa na hao wachezaji
ni bora kuwa na perez kuliko kuwa na welbeck na mwezie iwobiHabari za asubuh
UNAI EMIRY amemtaka LUCAS PEREZ aungane tena na Arsenal mwezi wa saba akitokea Derpotivo la coruna alipokua kwa mkopo
Inasemekana moja ya wachezaji anaowapenda pale Arsenal alikua ni huyu
Je nafasi ya IWOBI ndo inakwenda kupotea?
usitaje makocha wanaonunua ubingwa, unajua ubingwa kaununua shilingi ngapi?EPL is overrated.
Toka watu waseme Guardiola atanyooshwa kisha msimu wa pili tu yeye ndio kawanyoosha, nimeiona epl ni ligi inayokuzwa sana na media za uk.
Unaweza ukawa na pesa ya kununua ila ukakosa mbinu.usitaje makocha wanaonunua ubingwa, unajua ubingwa kaununua shilingi ngapi?
Talent peke yake haitoshi kukupa vikombe, pesa peke yake haitoshi kukupa vikombe. Its the combination of both. Manu wamekusanya kikosi ghali zaidi lakini wameshindwa kuchukua hata kombe moja sawa na Arsenal ambayo ina average players.Unaweza ukawa na pesa ya kununua ila ukakosa mbinu.
Nashangaa kwa nini Manu watu hawaiongelei kuhusu kutumia pesa nyingi, ni kwamba Mancity walitumia zaidi yao kidogo ila nao kwa pesa waliyotumia walitakiwa wachukue vikombe kama wadhani Guardiola kanunua.
HahahahahahahahaTalent peke yake haitoshi kukupa vikombe, pesa peke yake haitoshi kukupa vikombe. Its the combination of both. Manu wamekusanya kikosi ghali zaidi lakini wameshindwa kuchukua hata kombe moja sawa na Arsenal ambayo ina average players.
Hivi mkuu hujaliona jukwaa lenu la Liverpool mpaka kuja huku na kuleta uchambuzi wako fake kuhusu Arsenal?? Hebu kuwa mstaarabu basi
Yuko EPL sasa lazima atasema hivyo, huu ni msimu wake wa pili tu ila kabeba ndoo kwa kufikisha point 100 na anayefuata ana 81, msimu wa kwanza kaingia champions ligi. hapa haihitaji sayansi kujua anasema kweli au la. EPL no mdebwedo.
Acha ushabiki.Hapo Ndiyo Shida Yenu inapoanzania!!
1. Bayern anaelekea Kubeba Kombe La Ligi Kuu Ya Ujerumani Miaka 10 Mfululizo bila Ya Kuwa na Mpinzani..
2. PSG Katika Hiyo Miaka 10 anaelekea Kubeba Makombe 9 Baada ya Last Season Kulikosa.
3. Juventus Ameshabeba 4 Mfululizo na Anaelekea Kubeba Hata 10 Mfululizo bila Ya Kuwa Na Mpinzani..
Halafu Anatokea Mtu Anakwambia BUNDESLIGA, LIGIE ONE & SIRIE A NI LIGI BORA MBELE YA EPL
Sijui Hata Watu Wanaishi Dunia Gani Jamani!!!!
Tuongee kwa takwimu, hasa katika mashindano ambayo hizi timu zinakutana. EPL title haina mwenyewe kwa sababu katika miaka kumi iliyopita hakuna timu iliyokuwa na hati miliki ya kombe, LA LIGA nayo imekuwa competetive kwa sababu kombe limegawanyika katika timu tofauti.Acha ushabiki.
Ubora upime kwa kutumia mashindano wanayokutana, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA, na hata mashindano ya timu za taifa, wachezaji wanaoccheza ligi zipi kwa wingi timu zao hufanya vizuri.
ACHENI USHABIKI MANDAZI. Usilete ushahidi wa ETI liver mbona msimu huu kaingia fainali. Inakuaje Seville au Atretico Madrid timu inayojipapatua kujaribu kuvunja ufalme wa "timu mbili" Spain, zinasumbua timu kubwa za ligi zingine.
Bundesliga ni bora zaidi ya EPL, mahaba yako kwa EPL ni ya kwako wewe. Na Seria A itachukua nafasi ya EPL very soon.
Sawa, pia waweza linganisha upande wa timu zipi angalau mara kadhaa zinafika mbali.Tuongee kwa takwimu, hasa katika mashindano ambayo hizi timu zinakutana. EPL title haina mwenyewe kwa sababu katika miaka kumi iliyopita hakuna timu iliyokuwa na hati miliki ya kombe, LA LIGA nayo imekuwa competetive kwa sababu kombe limegawanyika katika timu tofauti.
Watu wanatoa hoja ya LEAGUE 1, BUNDESLIGA na SERIE A kuwa weak leagues kwa sababu timu moja zimekuwa dorminant kwa miaka mingi bila upinzani wa nguvu.
Kwenye CL na Europe League, basically timu za Spain zime-dominate sana kwa miaka kumi iliyopita, sio England, France au Italy zilizofanya vizuri, walau Bayern aliwakilisha vizuri kiasi.
Ukiangalia takwimu za miaka kumi, Italy imechukua mara moja tu, kupitia Inter Milan, England mara mbiki, Man U na Chelsea, Germany mara moja kwa Bayern, zingine zote ni Barcelona na R. Madrid.Tuongee kwa takwimu, hasa katika mashindano ambayo hizi timu zinakutana. EPL title haina mwenyewe kwa sababu katika miaka kumi iliyopita hakuna timu iliyokuwa na hati miliki ya kombe, LA LIGA nayo imekuwa competetive kwa sababu kombe limegawanyika katika timu tofauti.
Watu wanatoa hoja ya LEAGUE 1, BUNDESLIGA na SERIE A kuwa weak leagues kwa sababu timu moja zimekuwa dorminant kwa miaka mingi bila upinzani wa nguvu.
Kwenye CL na Europe League, basically timu za Spain zime-dominate sana kwa miaka kumi iliyopita, sio England, France au Italy zilizofanya vizuri, walau Bayern aliwakilisha vizuri kiasi.
Ukiangalia takwimu za miaka kumi, Italy imechukua mara moja tu, kupitia Inter Milan, England mara mbiki, Man U na Chelsea, Germany mara moja kwa Bayern, zingine zote ni Barcelona na R. Madrid.View attachment 786056
wanunuzi wa ubingwa wamekuwa wengi yeyote kule juu anaweza kuupata!Unaweza ukawa na pesa ya kununua ila ukakosa mbinu.
Nashangaa kwa nini Manu watu hawaiongelei kuhusu kutumia pesa nyingi, ni kwamba Mancity walitumia zaidi yao kidogo ila nao kwa pesa waliyotumia walitakiwa wachukue vikombe kama wadhani Guardiola kanunua.