Kwani Arsenal ina wachezaji gani ?Alikua na kikosi cha wachezaji wa aina gani, hakuna timu yenye matokeo mazuri against Barcelona au Real Madrid
Kwa Taarifa Yako: Unai Emery amekutana na Pep Guardiola mara 10, Jose Mourinho mara 5 - katika mechi hizi 15 hajashinda mechi hata 1.
Kafungwa 10
Sare 5
hahahahahahahahaahah
Mkuu mimi hata sio shabiki wa ArsenalKwani Arsenal ina wachezaji gani ?
Kwa wachezaji haohao aliweza kuchukua Uropa mara 3 ,so mtakuwa timu ya Uropa
Mzeekuna wale wanaosema Unai Emery alishindwa kuipa UCL PSG yenye best players wakutosha je ataweza kufanikiwa arsenal
nakumbusha Jose Mourinho aliweza kuwapa FC PORTO UCLakashindwa akiwa chelsea ilokuwa na watu kweli kweli
so msikariri maisha kwenye soka time will tell
Wewe ni mtabiri tambi tambi?Mzee
Emery ni specialist wa Uropa na Arsenal msimu ujao mtacheza huko,huku Champions League sio sehemu ya kuongelea sababu sidhani kama kwenye msimu wake wa kwanza ataweza kumaliza top four
Na chelsea mtamaliza nafas ya ngapi? Maana inaonesha ww ni mtabir tambitambiMzee
Emery ni specialist wa Uropa na Arsenal msimu ujao mtacheza huko,huku Champions League sio sehemu ya kuongelea sababu sidhani kama kwenye msimu wake wa kwanza ataweza kumaliza top four
Grp lipi?
Nimeipenda hii.Kwa taarifa tu:- Msimu wa 2017/18
Unai Emery = Makombe 4
Conte+ Mourinho +Guadiola + Klopp + Makocha wote wa EPL = Makombe 3
Halafu anatokea jinamizi anasema Emery sio kocha.!!!!???
Hayo makombe unayozungumzia na wachezaji waliokuwa nao hata Wenger angekuwa PSG angechukua yote kumbuka hii ni EPLKwa taarifa tu:- Msimu wa 2017/18
Unai Emery = Makombe 4
Conte+ Mourinho +Guadiola + Klopp + Makocha wote wa EPL = Makombe 3
Halafu anatokea jinamizi anasema Emery sio kocha.!!!!???
Unadhani hata Wenger angekua Man City angeshindwa kubeba EPL?Hayo makombe unayozungumzia na wachezaji waliokuwa nao hata Wenger angekuwa PSG angechukua yote
Mkuu huyu jamaa anajitahidi sana kujifunza lugha mpya ili aendane na mazingira, hata kifaransa alijifunza kwa muda mfupi.Nimeipenda hii.
Alafu nimemsikiliza akiongea ktk press yake ya kwanza, inasemekana jamaa lugha ya malkia haipandi bado ila kaonyesha ujasiri kupanda nayo hiyo hiyo na anaeleweka vizuri kabisa. Huyu jamaa yuko vizuri, nafikiri tumpe muda ila namuona kama a no nonesense guy, wachezaji wetu watoke ktk comfort zone zao sasa!
COYG!
Unadhani hata Wenger angekua Man City angeshindwa kubeba EPL?
Wenger hana kipaji cha kumotivate wachezaji, jasingeweza kwa hii modern football ambayo ina wachezaji wenye egos kubwa.Unadhani hata Wenger angekua Man City angeshindwa kubeba EPL?
Hayo makombe unayozungumzia na wachezaji waliokuwa nao hata Wenger angekuwa PSG angechukua yote kumbuka hii ni EPL
Mkuu, Man City ina kikosi ghali zaidi duniani kuzidi hata PSG hivyo ni wazi kwamba kocha yoyote anaweza kufundisha pale na akapata mafanikio (endapo mafanikio ya timu yanapimwa kwa ubora wa kikosi)EPL ni ngumu sana kumbuka Pep msimu wa kwanza hata top four ilikuwa kasheshe kuipata kwa sasa Wenger asingeweza kuwa-motivate wachezaji ukilinganisha na Pep
Tatizo wanakariri hao konte, wenger mou misimu yao ya kwanza wamebeba EplMkuu, Man City ina kikosi ghali zaidi duniani kuzidi hata PSG hivyo ni wazi kwamba kocha yoyote anaweza kufundisha pale na akapata mafanikio (endapo mafanikio ya timu yanapimwa kwa ubora wa kikosi)
Pili PSG inashiriki kwenye michuano mingi zaidi (Michuano 5) hivyo kocha kufanikiwa kutwaa makombe ma4 ni achievement kubwa na inabidi apate credit kwa hilo.
Kuhusu ugumu au ulaini wa EPL unategemeana na kocha tu.
Abaki huko huko si anataka kucheza UEFA?Dunia inazunguka kwa kasi sanaView attachment 784568