The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 771
MKUU HIYO PESA KWA ARSENAL HII INAWEZA IKAWA NYINGI KWA KOCHA MZURI NA INAWEZA KUWA KIDOGO KWA KOCHA MZURI VILE VILE...MAANA KWA MTAZAMO WANGU MIMI ARSENAL INAHITAJI MAREKEBISHO SEHEMU CHACHE...BUT KUWA MKWELI THAT AMOUNT IS TOO SMALL KWA MARKET YA SASA DUNIANI£50M ni tetesi for now. Sidhani kama watakuwa wabahili hivi. Mchezaji mmoja mzuri anacost more than that. Unafikiria watapata wachezaji gozigozi wangapi kwa pesa hiyo ?
🙄mamruki huyu teh tehKila la heri Arteta.. Mteja mpya wa wakubwa EPL.. Tutakusanya point sita sita kwa Arsenal kila msimu kama kawaida
BAADA YA MAKUBALIANO YA AWALI ARTETA ATOA SHARTI ZITO.
Arteta ameripotiwa kufikia makubaliano ya awali na uongozi wa Arsenal kuchukua pahala pa Wenger.
Arteta anataka aondolewe mtaalam wa matibabu wa Arsenal bwana Colin Lewin kutokana na kile kilichoelezwa kuwa alishindwa kumtibu vizuri alipokuwa akicheza Arsenal na ndiyo source ya majeraha ya mara kwa mara pale Arsenal.
MKUU HIYO PESA KWA ARSENAL HII INAWEZA IKAWA NYINGI KWA KOCHA MZURI NA INAWEZA KUWA KIDOGO KWA KOCHA MZURI VILE VILE...MAANA KWA MTAZAMO WANGU MIMI ARSENAL INAHITAJI MAREKEBISHO SEHEMU CHACHE...BUT KUWA MKWELI THAT AMOUNT IS TOO SMALL KWA MARKET YA SASA DUNIANI
Hivi david luiz hawamuoni auWanamtaka John Evans ambaye realese clause yake ni € 3m kwa mtindo huu iyo pesa nyingi sana na uku tunavizia wale wa bure
Tutamchukia kila kocha mpaka board iamue ku-spend kwenye soko ili kuendana na soka la leo.
Mkuu samahan, evans alikuwa anatakiwa na vilabu vikubwa toka january, wakiwepo man city, ada yake ni paun mil35, ila kipengere kwenye mkataba kinasema wakishuka daraja, auzwe kwa paun mill 3.Wanamtaka John Evans ambaye realese clause yake ni € 3m kwa mtindo huu iyo pesa nyingi sana na uku tunavizia wale wa bure
Tutamchukia kila kocha mpaka board iamue ku-spend kwenye soko ili kuendana na soka la leo.
Tutaendelea kumuheshimu kama mtu aliyetutoa toka levo moja hadi nyingine...In his 22 seasons in North London, the 68-year-old the so called Wenger has reached two European finals with the club - both ending in defeat to Galatasaray (UEFA Cup 2000) and Barcelona (Champions League 2006)
He is a Domestic Cup Coach and Not European Cup Coach Like Pochetino and Simeone.
ROBERTO 20
barafuyamoto
Mkuu unamdharau wenger wakat in 5yrs, wenger ana Silverware 6, liver 1In his 22 seasons in North London, the 68-year-old the so called Wenger has reached two European finals with the club - both ending in defeat to Galatasaray (UEFA Cup 2000) and Barcelona (Champions League 2006)
He is a Domestic Cup Coach and Not European Cup Coach Like Pochetino and Simeone.
ROBERTO 20
barafuyamoto
Kweli kabisaMkuu samahan, evans alikuwa anatakiwa na vilabu vikubwa toka january, wakiwepo man city, ada yake ni paun mil35, ila kipengere kwenye mkataba kinasema wakishuka daraja, auzwe kwa paun mill 3.
Sasa huyu amekuwa scouted na Pep, na kina Sven, inaonesha ana uwezo wa ku clear sana, hivi kuliko kuwa na Mustafi anayechoma daily au kuwa na cos6 ambaye umeenda na anamajeruhi, si bora aje Evans kwa hiyo 3 maana bado uwezo anao, na Kuna beki kama 2 zinakuja,
Kwanza hao aliowataja wana ucl ngapi?au hata hizo domestic cups daaaaahhhhTutaendelea kumuheshimu kama mtu aliyetutoa toka levo moja hadi nyingine...
Unadharau EPL titles tulizobeba wakati ww huna hata moja!!!!!
tumia akili za ubongoni na si nyinginezo...
Huyo klopp mwaka watatu huu hana hata silverware mojaKwanza hao aliowataja wana ucl ngapi?au hata hizo domestic cups daaaaahhhh