McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Peleka board ya AFC hayo mawazo yako mabovu.Bodi ya Arsenal haijui la kufanya hivi sasa. Tutashangaa wanaajili hata mfagiaji kuwa kocha. Binafsi sitaki hawa makocha ambao hawana uzoefu wa first team experience sababu watazidi kutudidimiza. Arsenal tunahitaji kocha ambaye atakuja na new Approach tofauti kabisa. Kina Arteta, Vieira, Bergkamp, Henry wote wana chembechembe za kiufundishaji wa Wenger. Ni sawa na kusema mtoto wa baba yako mdogo/mkubwa au mtoto wa mjomba wako alivyo na DNA inayoweza kufanana na yako hata kama ni wa mbali kidogo. Wenger atakuwa amewa-affect kistaili. Yeah, watakuja na vitu vyingine vipya, najua kuna vitu hawakupenda from Wenger(kibinadamu, kiprofessional) lakini background(and ego) yao ya kuchezea Arsenal wakati ipo juu(bar Arteta) itawaweka wachezaji wa sasa ktk pressure Fulani.
Nataka wamchukuwe at least huyo wa Juventus au wamchukuwe kocha wa Germany. Then mambo yakiharibika (miaka 2 ijayo) wajaribu kwa hao former players. Ni mawazo yangu MABOVU.
usijali wameshaanza mazungumzo na UNAI EMERY deal ikiwa poa atakuja hapo COLNEYBodi ya Arsenal haijui la kufanya hivi sasa. Tutashangaa wanaajili hata mfagiaji kuwa kocha. Binafsi sitaki hawa makocha ambao hawana uzoefu wa first team experience sababu watazidi kutudidimiza. Arsenal tunahitaji kocha ambaye atakuja na new Approach tofauti kabisa. Kina Arteta, Vieira, Bergkamp, Henry wote wana chembechembe za kiufundishaji wa Wenger. Ni sawa na kusema mtoto wa baba yako mdogo/mkubwa au mtoto wa mjomba wako alivyo na DNA inayoweza kufanana na yako hata kama ni wa mbali kidogo. Wenger atakuwa amewa-affect kistaili. Yeah, watakuja na vitu vyingine vipya, najua kuna vitu hawakupenda from Wenger(kibinadamu, kiprofessional) lakini background(and ego) yao ya kuchezea Arsenal wakati ipo juu(bar Arteta) itawaweka wachezaji wa sasa ktk pressure Fulani.
Nataka wamchukuwe at least huyo wa Juventus au wamchukuwe kocha wa Germany. Then mambo yakiharibika (miaka 2 ijayo) wajaribu kwa hao former players. Ni mawazo yangu MABOVU.
Kweli kabisa mkuu.Wana uhakika Arteta atakua kivuli tu hana ubavu wa kuwavimbia waajiri linapokuja suala la usajili hapo ndipo tutakapoumia.
Hahawenger leo anaaga kwa kichapo yaani katika game ngumu za leo basi ni hii ya aseno na huddersfield kwani jamaa wanashika nafasi ya 4 kutoka chini ni kufungwa kwao itakuwa sio vizuri
Kama alivyosema Piers Morgan....
hivi ni kweli au ndoto kuwa huyu mzee ndio kasepa mazima?
Fungeni nafsi zenu kwa misimu mingine mitatu labda ndo mtaanza kupata matokeo mazuri.amesepa swahiba na kuanzia leo tuko roho mkononi hatujui anakuja nani
Mungu tunusuru na yule Arteta wallahi maana nahisi maisha yatakua magumu haswaaaaa.
Imeshakuwa ana ana ana do sasa. Wakishindwa hapo watakwenda kwa Moyes, Pardew, Big Sam, etc. Arsenal let's gousijali wameshaanza mazungumzo na UNAI EMERY deal ikiwa poa atakuja hapo COLNEY
wewe ni mganga wa kienyeji ?Fungeni nafsi zenu kwa misimu mingine mitatu labda ndo mtaanza kupata matokeo mazuri.
dah maana ......ila nafikiri neema inakuja tuondoe mashaka naamini atakayekuja hatotembelea nyota ya mzee,mimi nilitaka kocha mkalimkali na kauzu kwelikweli yani awe na hamasa ya kutosha sio kama babu ...yaani tungepata aina ya kina klopp,simeone,gattuso,(djuma masoud)amesepa swahiba na kuanzia leo tuko roho mkononi hatujui anakuja nani
Mungu tunusuru na yule Arteta wallahi maana nahisi maisha yatakua magumu haswaaaaa.