Pigo kwetu...Allegri ameamua kubaki Juve (tetesi) ni vema sala,maombi na kufunga ikawa sehemu ya maisha yetu kwa sasa mpaka atakapopatikana mrithi sahihi wa AW.
View attachment 772507
Pigo kwetu...
Kwahiyo wamebakia kina Vierra na Arteta!
Duh..
Tupo mwanabodi, ila majonzi tu...Hoo-Hooodi humu
Kwa kweli naipokea kwa mikono 2...tuna hali mbaya mwanabodi..Poleni mweeee Jana tena mmeshindwa kufurukuta!!
Huna hoja...kuwa - badala ya + twakuona msaliti, nenda kwenye thread husika...Hii timu ishakuwa marehemu
Pole zake atakaeichukua
Wazee wa FA
Vieira namuona kama chaguo sahihi coz kwa kucheza Arsenal 9 seasons inamaana anaujua utamaduni wa Arsenal na nadhani anajua Arsenal inahitaji nini hasa. Spirit ya USHINDI kama nyakati anacheza yeye....nadhani mnakumbuka namna alivyokuwa anawapa shida sana kina ROY KEANE kina STEVEN GERRARD pale katikati....Vkeira alikuwa mpambanaji wa kweli. Gerrard na LAMPARD kwa vinywa vyao wamewahi kukiri kuwa hakuwahi kukutana na tough opponent katika nafasi walozokuwa wanacheza kama alivyokuwa Vieira.....#I go with Patrick VieiraTatizo kwa kocha mpya ni kugeuzwa mindset ya wachezaji wa AW, kwamba sawa tupige mapasi, na mapasi ya kutosha, ila tuwe na njaa ya ushindi, tuwe ngangari, tuwe tunachukia kufungwa, wako kama hawajali chochote kile...
Tuna wakati mgumu!.Vieira namuona kama chaguo sahihi coz kwa kucheza Arsenal 9 seasons inamaana anaujua utamaduni wa Arsenal na nadhani anajua Arsenal inahitaji nini hasa. Spirit ya USHINDI kama nyakati anacheza yeye....nadhani mnakumbuka namna alivyokuwa anawapa shida sana kina ROY KEANE kina STEVEN GERRARD pale katikati....Vkeira alikuwa mpambanaji wa kweli. Gerrard na LAMPARD kwa vinywa vyao wamewahi kukiri kuwa hakuwahi kukutana na tough opponent katika nafasi walozokuwa wanacheza kama alivyokuwa Vieira.....#I go with Patrick Vieira
Acha kubishana na huyo mwehu si shabiki wa Arsenal kwann upoteze muda naye.Huna hoja...kuwa - badala ya + twakuona msaliti, nenda kwenye thread husika...
Patriotic, loyal, kudos ngosha...πππ namna ile, sijuwi hata wanafuata nini humu kutonesha madonda yetu?! Ndorobo kabisa hao...Acha kubishana na huyo mwehu si shabiki wa Arsenal kwann upoteze muda naye.
Maumivu wanayo kwa kuwa arsenal ikipata kocha mwingine wataumia.Pamoja na uzembe wa wenger bado wameshindwa kumtoa top four within 20 yrs.Tofauti na arsenal hakuna timu iliyodumu top Four 20 yrs hii ni ishara ya ubora wa timu.
Matatizo yaliyopo arsenal ni madogo sana ukilinganisha na yaliyopo man,chesii na liver.
Timu bora yenye mashabiki wa muda mrefu wasioyumba ni arsenal hata hao wanaoponda timu ikikaa sawa watarudi.
Mashabiki wote wa chelsea,man city,totenham ni wahamiaji haramu maana hizo timu zimejulikana miaka michache tu karibuni na zinaweza poteana tena kutegemeana na mmiliki.
Newcastle ni timu maarufu ulaya kuliko chelsea na mancity lakini imepoteana kwa sasa na ndiyo kitakachozikuta hizo.
Timu za muda wote ni arsenal,liver na man tu.Msitutishe kwa mja leo muondoka kesho.Vivaaaaa arsenal!!!!!!.Naipenda timu yangu 26 ya ndoa na arsenal siiachi kamwe.
Tunakubali kabisa...Arsenal kwasasa inahitaji kocha mwenye falsafa tofauti na Wenger
Inahitaji kocha atakayekuwa na spirit ya ushindi wa kuchukua kombe.
Iimarishe Ulinzi mathubuti (Defence) na kuruhusu wachezaji kujaribu kuscore wakiwa mbali hata nje ya box.
Tumeuza wachezaji bora kwenda virabu vingine kama baca,man na kwingineko bado tunakuwa ktk ubora.Just imagine fabregas,van persie,viera,essien,henry tuliwauza wakati mgumu na bado hatukushuka top four.Timu haina madeni kama zilivyo man,madrid na wengineo.Patriotic, loyal, kudos ngosha...πππ namna ile, sijuwi hata wanafuata nini humu kutonesha madonda yetu?! Ndorobo kabisa hao...
Long live ARSENAL...
Mkuu bodi ya Arsenal always wanataka watu wa mishahara midogo. Kama itakuwa kweli kocha akawa huyo tumeumia.View attachment 775149
Arteta....
Naona tunajiandaa kupiga tik tak na msuli wakati hatujavaa pichu ndani aya mambo ya kujaribu ni hatari sana ngoja tuone.
Mkuu bodi ya Arsenal always wanataka watu wa mishahara midogo. Kama itakuwa kweli kocha akawa huyo tumeumia.