MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Hakuna ambaye hajafungwa uptodate kila timu imefunga na kufungwa.Kwa kikosi hiki man ndiyo mbovu.Man utd kafungwa 27 goals, Arsenal kafungwa 48 goals. Kabla ya mechi hii utd na city walikuwa sawa as best defense 26=26.
Hata Arsenal kafungwa una la kuongeza.
Najuta kupoteza muda wangu.Hakuna ambaye hajafungwa uptodate kila timu imefunga na kufungwa.Kwa kikosi hiki man ndiyo mbovu.
PoleNajuta kupoteza muda wangu.
Anafaa sana, hata Chambers, Laurent Koscielny hamna kitu kwa sasa..Kocha mpya akiingia, hao wawili piga chini, hata Héctor Bellerín hakuna kitu..Huyu mavropanos anafaa kuchukua nafasi ya mustafi
Hili tukio nimelipenda kweli, Fergie kaonesha ungwana + mashabikiClassy..
View attachment 760642
Ainsley Maitland-Niles
View attachment 760769
Man of the matchAinsley Maitland-Niles
View attachment 760769
Without a doubt..Man of the match
Ila buti ya AW matata...ya Sir Alex nayo imo umo...Hili tukio nimelipenda kweli, Fergie kaonesha ungwana + mashabiki
MkMkuu jjibu la 1 plus 1 linajulikanaMkuu mbona unakata tamaa mapema?
Umesahau In Wenger We Trust?
Mbona ile historia ya club haipo?
Mmmmh hapa kwa hector umechemka mkuuAnafaa sana, hata Chambers, Laurent Koscielny hamna kitu kwa sasa..Kocha mpya akiingia, hao wawili piga chini, hata Héctor Bellerín hakuna kitu..
Arsenal ya VengerArsenal hajashinda mechi ya ligi OT kwa miaka 11
View attachment 761072
Kwani miaka 11 iliopita kuna mwingine Arsenal zaidi ya wenger?Arsenal ya Venger
So far man utd imekua na zaid ya makocha watatu. So kama Wenger aliprove failure mapema tu hakukua na sababu ya kusimama kifua mbele kwa 11 yrs but sababu ukizungumzia impact ya hiyo 11 yrs kwa timu kuanzia vikombe vya kitchen mpaka living room bado impact ya Manchester ni ndogo sana kwa Arsenal.Kwani miaka 11 iliopita kuna mwingine Arsenal zaidi ya wenger?