Man ipi hii hii inayogongwa na westbrom.Man hataifunga arsenal labda sare.Magoli ya mvua siyaoni.Ina sharp foward lakn pia haina beki arsenal nao wana foward nzuri lakin beki haijatulia.
Man ipi hii hii inayogongwa na westbrom.Man hataifunga arsenal labda sare.Magoli ya mvua siyaoni.Ina sharp foward lakn pia haina beki arsenal nao wana foward nzuri lakin beki haijatulia.
Man utd kafungwa 27 goals, Arsenal kafungwa 48 goals. Kabla ya mechi hii utd na city walikuwa sawa as best defense 26=26.
Hata Arsenal kafungwa una la kuongeza.
Mtani nakumbuka niliwahi kule kwenye jukwaa lenu kua hatuna timu za kueleweka sana ila zina mashabiki wenye kiu na mafanikio tu leo ni murndelezo wa kile ambacho kilianza na msimu ujao kitaendelea.
Frankly speaking wale watoto wameniaibisha maana toka mwanzo sikuwaza wangefanya angalau hiki walichofanya.