Mustafi,Kos,Wilshere,Ozil na Lacz hawajajumuishwa kwenye kikosi kilichosafiri kwenda jiji la Manchester.
AW amemamua hakuna namna tutajivuta kwenda kuwaangalia vijana wetu duh tuna beki anaitwa Osei Tutu hakika AW fundi

Mirror reports that [HASHTAG]#MCFC[/HASHTAG] will prevent both Arteta and Vieira from joining [HASHTAG]#AFC[/HASHTAG] if/when the latter comes calling.
Wadau mpo?! kina RRONDO leo watapiga kambi humu!
Si wanajuwa leo ubwete, anyway, tuombe tusipigwe konde za kutosha tu, confidence ya hawa watoto itapotea yote...
Hivi babu kweli hana vikosi 2 kama wenzake?!
Yetu macho... COYG