Timu imetulia, ila mwenzenu bado sielewi kwanini hatukumuuza Ozil, sijawahi ona mchezaji mvivu kama yule, najuwa nitapingwa kwa assist zake lakini ngosha hapana...
Anyway at least muda si mrefu tutakuwa uwanjani tupate raha baada ya siku ya mambo ya siasa..
All the best Gunners..