Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama kuna kitu nilikuwa nasubiri sana kitokee basi ni Wenger kuachia team yetu, nashkuru mungu imetokea japokuwa sio kwa wakati mwafaka

ila cha ajabu nimeumia sana kupata hii habari, moyo unauma sana na badala ya kuwa siku ya furaha sasa imekuwa siku ya majonzi

Asante sana mzee wenger kwa memories ulizotuachia, kweli Arsenal ni kubwa kuliko arsene ila yeye ndo amechangia kuwa kubwa, naheshimu sana uwepo wako katika club yangu kipenzi

All in all good bye the man who made me love ARSENAL. ONCE A GUNNER FOREVER A GUNNER
 
Kocha Arsene Wenger ametangaza kustaafu kuifundisha Arsenal mwisho wa msimu huu baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa miaka 22.

Mfaransa huyo ataondoka katika klabu hapo mwaka mmoja kabla ya kumalizika kwa mkataba wake wa sasa.

Gunners kwa sasa ipo nafasi ya sita katika msimamo wa Ligi Kuu na wanaweza kumaliza nje ya nne kwa msimu wa pili mfululizo, huku tumaini lao la kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa likiwa limebaki iwapo watachukua ubingwa wa Europa Ligi.

Wenger (68), ametwaa mataji matatu ya Ligi Kuu England na Kombe la FA mara saba huku akitwaa mataji mawili mara mbili kati ya mwaka 1998 na 2002.

"Nashukuru kupata nafasi ya kuifundisha klabu hii kwa miaka mingi yenye kumbukumbu," alisema Wenger. "Nimeiongoza klabu hii kwa kujitoa kwa moyo wangu wote na akili yangu.

Kwa wote wanaopenda Arsenal, kuchukua jukumu la kulinda heshima ya klabu hii."

Mmiliki mkubwa wa Arsenal, Stan Kroenke alisema uamuzi huo wa leo Ijumaa kuwa "ni moja ya siku ngumu kwa wadau wa michezo baada ya miaka yote."

Aliongeza: "Mmoja ya sababu kuingia Arsenal tulikuwa tukitaka Arsene kuipa mafanikio klabu hii ndani na nje ya uwanja.
 
2003/2004 pia walichukua ubingwa
 
Wenger out at the end of the season .Yeah we won . Maandamano yanafanya kazi. We will be back where we are belong next season.

Yes! You'll be back in Europa League next season coz is the place where you belong
 
- Wenger: "I feel it is the right time"

- Ogden: Wenger to leave with tarnished legacy

- Karen: Wenger right to leave Arsenal but fans must show respect
 
Merci Arsene Wenger....
IMG_5413.JPG

IMG_5412.JPG

IMG_5411.JPG
 
Hongereni jmn gunia la misumari mmelitua miaka 22 epl 3 kama za jose na Chelsea
 
```Hivi kweli Wenger anaondoka au anataka watu wasimlaumu akipigwa na Atletico Madrid ```
 
Makocha Wengi Waliotamba Mwanzoni mwa Miaka ya 1996s na 2000s Hawana Soko tena Katika Soccer la Sasa Kwani Mbinu Zao Haziendani Na Wakati huu.

Sasahivi Wameibuka Makocha Walioanza Kutamba Kuanzia Miaka ya 2010s (Poch, Sime, Pep, Klopp, Tuchel n.k.) Ndiyo wanaoonekana Wanaendana Na Mbinu za Soccer la sasa.

Kwahiyo Kroenke Kamfanya Wenger kuwa ni Scapegoat kutokana Na Falsafa zake za Kiuchumi.
Trust me! Washabiki Wa Arsenal Watakuja Kumlilia Huyu Jamaa! Hawajui Kocha Ajae Atawafanyia Nini Kwani Mmarekani wa Arsenal Hayuko Tayari Kumleta Kocha Wa Big Budget bali Atatfuta Wa Low budget ili aendelee Kutengeneza hela.
 
Back
Top Bottom