Basi sawa arsenal kweli mwamba lazima ndoo abebe anashambulia sanaUsidanganye yaani Atl jana katokea tundu la sindano bora hata aseno walifunguka wakasawazisha.Wale madogo uzoefu tu ndo uliwakosa na kushindwa kutumia nafasi walizopata.Sijaona alichofanya grizman wala costa.Mpira kweli unadunda nimeamini.
Timu zote ngumu na unaweza ukakuta si arsenal wala madrid wa kubeba.Basi sawa arsenal kweli mwamba lazima ndoo abebe anashambulia sana
Kanikera sanaAtletico amekuja EUROPA kutuharibia sherehe tu
PereeeeeezAubaaaaaaaaaaaaaaaa
Burnley anafikuza mwizi kimnya kimnyaPoleni sana japo mmekimbia uzi wenu.
Ni bora ushabikie rede utaona chupi , kuliko Arsenal.
Wapigweeeeeeee....View attachment 745475
Kuna wakati huyu bwana alitaka kuihadaa dunia kwamba Arsenal ni timu kubwa duniani, na ni moja ya top 4 England[emoji23][emoji23]View attachment 745494