McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Miracles happen...
Cech anacheza penati leo.
Cech anacheza penati leo.
Cech anacheza penati leo.Assist from mikhitaryanAuba....️
Arsenal 2-0 WAT
Atleast sasa kuna matumaini kwa mbali.
️Assist from aubameyangMikh....️
Arsenal 3-0 WAT
Dakika ya 77





Thanx for the updates man, naona critics walikuwa wengi huko mitandaoni kisa tu Ramsey na Wilshire hawakupangwa.Alhamdullilah....
FT
Arsenal 3-0 WAT
3 Goals
3 Points
Clean sheet
Back in winning ways
Yeeeeeessssss we made it...!!!!!
Thanx for the updates man, naona critics walikuwa wengi huko mitandaoni kisa tu Ramsey na Wilshire hawakupangwa.


Hongera sana mkuu... kwa ushindiRECORDS:
1000 home goals kweye EPL na yamefungwa na wachezaji 100 tofauti.
View attachment 711591
Cech ametimiza clean sheet 200 baada ya kupambana mechi kadhaa akiwa ame-stuck kwenye 199
View attachment 711592
We've got Ozil..
Mesut Ozil...
Leo amefikisha assist 50
View attachment 711595
View attachment 711596
Hongera sana mkuu... kwa ushindi

Hahah!! Hao ni mashabiki maadandaziAsante sana mkuu,wewe unakuja kipindi cha msiba na furaha kuna ndugu zangu wakiona nimefiwa wanajazana hapa jamvini na banters za kutosha![]()
Numbisa bwana, umekuwa mtaalam wa makala. We shabiki wa "The Goons"?Arsenal imemaliza kipindi cha kushindwa mfululizo katika Premier League kwa kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Watford.
Shkodran Mustafi alitumbukiza wavuni free-kick ya Mesut Ozil kuwapa Gunners bao la kwanza dakika ya nane kabla ya Pierre-Emerick Aubameyang kutumbukiza pasi yake Henrikh Mkhitaryan bao la pili.
Watford walikuwa na fursa nzuri wa kufunga kupitia penalti lakini mkwaju wake Troy Deeney ukazuia na Petr Cech.
Mkhitaryan aligonga msumari wa mwisho kwa jeneza lake Watford na kuipa Arsenal ushindi wa kwanza tangu wawalime Everton 5-1 tarehe tatu Februari.
Ushindi huo unaiweka Arsenal nafasi ya sita, pointi 10 nyuma ya nafasi ya nne Tottenham.
Numbisa bwana, umekuwa mtaalam wa makala. We shabiki wa "The Goons"?