Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
Nasikitika kwa vile sina sanda wala jeneza la kuchezea.Kwa kuwa huu msiba ni wa jirani yangu wa karibu.
Nitachangia sanda na jeneza.. majirani wengine naomba ahadi zenu......
Nenda mamahd.comMwenye link ya livestream
Aiseee Wenger booonge la coacher[emoji41] [emoji41]HT
Milan 0-2 Arsenal
Mkhi na Rambo wanatupeleka mapumziko tukiwa na goli 2.
Mkuu nakuona upo leo unapata faraja kidogoHT
Milan 0-2 Arsenal
Mkhi na Rambo wanatupeleka mapumziko tukiwa na goli 2.
Hongera mkuu