HT
HBA 2-1 Arsenal
Tusubiri kipindi cha pili kama tukicheza kwa kasi ya dakika 10 za mwisho tunaweza kupata angalau point 1 mambo mengine itakua miujiza.
Siku zote ukifungwa kuna ile kupotea morale ni ngumu pia ku-gain ila fighting spirit na sio kwamba wachezaji hawataki matokeo chanya ila hawana namna ukiangalia wanapambana ila ndio kama unavyoona,Arsenal inapitia kipindi kigumu kuliko wakati wote katika miaka ya karibuni.