Shukrani Mkuu, timu ina pesa chungu nzima lakini ubahili ndiyo ubahili wale wapuuzi wa Kimarekani hawajui chochote kuhusu football wao wameweka pesa mbele na kudharau kabisa kuhusu performance ya timu.
Matajiri zenu sio watu wa mpira na ubakhiri wa babu yenu kama anatoa zake za mfukoni huo muunganiko ndio unawatesa. Mtabaki kumpa sifa alijenga uwanja wa emirates basi.
Mkuu Arsenal ninawajua leo wanashinda 3-0. Mechi ijayo wanashinda 2-0 baada ya hapo washabiki wa Arsenal katika ubora wao wanasahau lawama zote wanazompa AW.