Tayari Wameshakula Hat-Trik eeh! Wanamahesabu Baada Ya Kumaliza Hii Game Naomba Mutuekee Takwimu Sahihi Ya Season hii ili tujue Arsenal Wamefungwa Magoli Mangapi na Man City Msimu huu!
Wewe ROBERTO 20 ulianza na mbwembwe lakini Sasa umeingia Mitini!!!
Najua utakuja Na Kisingizio cha Kuwa Majukumu Yamekukaba utazani Hapo Mwanzo Ulikuwa Hufanyi Nazi! 😀😀😀