Mvua najua bora nini bora jua mvua najua bora nini bora mvua mbona mnanichanganya wengine jua wengine mvuaDah mkuu hilo litakuwa goli la dhahabu
Mvua najua bora nini bora jua mvua najua bora nini bora mvua mbona mnanichanganya wengine jua wengine mvua
Kufungwa na droo bora nini bora drooo kufungwa na droo bora nini bora kufungwa mbona mnanichanganya wengine kufungwa wengine droo
Namaliza na verse
Jibu litapatikana baadae mkionesha ustarabu mana kufungwa ni noma unaweza hata ukaokota makopo kwa uchizi droo angalau umepunguza fedheha ila kufungwa na underdog nyumban ni udhaifu mkubwa.
Huyo ni jay moe mbakiaji famous.
Kama ni kweli Gattuso hachomoki.official,,,,arsenal will face Ac Milan in the Europa league round of 16
kama zamani mechi ya AC Milan vs Arsenal ni bonge ya game na ingwaweka wapenzi wa soka duniani katika ushabiki mkubwa wee fikiria huku Gatuso kule Viera na kule Henry na huku Shevchenko je utamu ungekuwaje??
Kadi ya diaby ilitugharimu mnoo.Huu mchezo wa 5 February 2011 kati ya Newcastle na Arsenal washabiki wa Arsenal hawatasahau Kabisa
4:0 hadi dakika ya 70
lakini mpaka kipenga kinapulizwa goli la Tiote linawanyamazisha kabisa Arsenal
official,,,,arsenal will face Ac Milan in the Europa league round of 16
Huu mchezo wa 5 February 2011 kati ya Newcastle na Arsenal washabiki wa Arsenal hawatasahau Kabisa
4:0 hadi dakika ya 70
lakini mpaka kipenga kinapulizwa goli la Tiote linawanyamazisha kabisa Arsenal
kama zamani mechi ya AC Milan vs Arsenal ni bonge ya game na ingwaweka wapenzi wa soka duniani katika ushabiki mkubwa wee fikiria huku Gatuso kule Viera na kule Henry na huku Shevchenko je utamu ungekuwaje??
Acha kukaririKwa AC Milan hiyo Arsenal angerowa 5
Kwani walishinda si ilikuwa sare sasa povu la nnDuh! Nilikwisha Sahau Hii Chandimu
Kwani walishinda si ilikuwa sare sasa povu la nn
Tuliwapiga 2-0 au umesahau goli za fabregas na van persieKwa AC Milan hiyo Arsenal angerowa 5
Tuliwapiga 2-0 au umesahau goli za fabregas na van persie