Kwani una kikosi kibovu?Hivi mmeona wanaume tunavyo cheza.? Hata kama una kikosi kibovu isiwe sababu mtu kukunyanyasa. Tumia ulichonacho vizuri kitakufaidisha. Siyo mnakaa kaa kizembe.
Sema one day na nyie mtakua kama sisi. Hiyo stage na sisi tulipitia. Ila muwe mnakuja kuangalia kaka zenu tunafanya nini. Msikae kizembezembe tu.
Mje weekend muone tutakacho mfanya Man U kwake.
Hivi mmeona wanaume tunavyo cheza.? Hata kama una kikosi kibovu isiwe sababu mtu kukunyanyasa. Tumia ulichonacho vizuri kitakufaidisha. Siyo mnakaa kaa kizembe.
Sema one day na nyie mtakua kama sisi. Hiyo stage na sisi tulipitia. Ila muwe mnakuja kuangalia kaka zenu tunafanya nini. Msikae kizembezembe tu.
Mje weekend muone tutakacho mfanya Man U kwake.
Kikosi kibovu sanaKwani una kikosi kibovu?
Kwa hiyo mi nifanye nini sasa.? Waache wenye timu yao waongee. Tunajuana sisi.Who are you people?
Eti Ila muwe mnakuja kuangalia kaka zenu tunafanya Nini" !!!
Kati ya Chelsea na Arsenal nani Ni Kaka??
• Arsenal Kaanzishwa Mwanzo Kuliko nyinyi...
• Arsenal Ana mataji Mengi Kuliko nyinyi...
• Arsenal Ameifunga Chelsea Mara nyingi Kuliko Mara chache ambazo Chelsea ameifunga Arsenal...
• Arsenal ana malegends Kuliko nyinyi munaoanza kutengeneza sasa kina Lampard na John Terry...
• Arsenal ana historia Kuliko nyinyi mulioibuka 2005 from nowhere...
Sasa huo Ujasiri Wa Kujiita Kaka Kwa Arsenal umeupata wapi??
Punguzeni Kujishauwa Kisa tu umetoka Draw na Barcelona.
Umefurah mwenyewe, mpaka unajiita mwanaume, haya tutakuja kukuangalia mwanaumeHivi mmeona wanaume tunavyo cheza.? Hata kama una kikosi kibovu isiwe sababu mtu kukunyanyasa. Tumia ulichonacho vizuri kitakufaidisha. Siyo mnakaa kaa kizembe.
Sema one day na nyie mtakua kama sisi. Hiyo stage na sisi tulipitia. Ila muwe mnakuja kuangalia kaka zenu tunafanya nini. Msikae kizembezembe tu.
Mje weekend muone tutakacho mfanya Man U kwake.
Karibu sana.Umefurah mwenyewe, mpaka unajiita mwanaume, haya tutakuja kukuangalia mwanaume
Nice to hear this.HT
Arsenal 0-2 Östersunds
Mkitolewa hapa itakuwa ni fedhea sanaHT
Arsenal 0-2 Östersunds
Aggregate inakuwa ngapi hapoKolasinac....️
Arsenal 1-2 Ostersunds
FT
Arsenal 1-2 Ostersunds
Alhamdullilah we booked our place kwenye round ya 16 na draw ya kesho itatujuza tutacheza na nani.
Frankly timu imecheza ovyo sana sometimes najiuliza Arsenal tuko serious kwenye nini maana EPL ndio tushajifia hata uku nako tunaangalia mpira roho juu,simply nimekereka pia kufungwa Emirates hawa Ostersunds wanakua timu ya pili baada ya Manure kutuadhibu nyumbani.
Mkuu Kufungwa Uwanjani Kwenu na Timu Kama Ostersunds ichukue Kama Ni Changamoto Kwa Next Round.
Ovyo kabisa,we were nowhere near good enough kama ambavyo wamesema wale Ostersunds ni underdogs ila wametuadhibu Emirates jana.
Makosa ya wazi ya vile vibeki vyetu uchwara vya kiingereza (Chambers & Holding) yanaendelea kutuonyesha kua backline yetu inahitaji overhaul.