Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mshambuliaji wa kimataifa raia wa Chile, Alexis Sanchez yupo tayari kutambulishwa na klabu ya Manchester United hii leo kama mchezaji halali wa timu hiyo huku akitarajiwa kupokea kitita cha paundi 450,000 kwa wiki.

Alexis akiwa na namba 7 ndani ya United tayari mashabiki wameanza kumiminika katika duka la Adidas mtaa wa Oxford jijini London

Wakati utambulisho wa Sanchez ukingojewa tayari mashabiki wameshaanza kuvamia maduka na kujinunulia jezi ya mchezaji huyo ambayo ni namba 7 sawa na ile waliyokuwa wakivaa wachezaji wenye majina makubwa ndani ya United kama George Best, Eric Cantona, David Beckham na Cristiano Ronaldo. Na maduka ya Adidas yaliyopo mtaa wa Oxford jijini London.

Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger hapo jana kupitia kikao chake na waandishi wa habari amethibitisha Sanchez wamemalizana na United.

Wenger amesema “Nimeufanyia kazi uhamisho kwa miaka sasa 30. Lakini kwa wakati wowote,dakika yoyote kunakitu kitashuhudiwa na hii ndiyo maana halisi ya usajili,”amesema Wenger.

Sanchez atakuwa akilipwa kwa wiki paundi 350,000 ukijumuisha na haki ya matangazo ambayo ni paundi 100,000 inakuwa jumla ya paundi 450,000.
AW aache utani basi,muuze uyu jamaa haraka iwezekavyo maisha yaendelee hii pinda pinda tutakuja kujutia bila sababu.
 
Uyu jamaa hana longo longo namuamini sana kwenye taarifa zake na mara zote anatoa taarifa sahihi nahisi AW kwa mara nyingine anatuletea balaa kwa nini anamkomalia Sanchez wakati Manure wameleta sarafu mezani aaaaggggrrrrh....
 
Tatizo AW wa zamani sio wa sasa, siku hizi ni mtu wa kusita sita, kutokufanya maamuzi mapema, kutokujiamini, dalili zote za uzee...
Kwa kweli anaiharibu hivi hivi timu huku wahusika wakiangalia pembeni..
 
Nimeshangaa kuona Sanchez kafanya mazoezi na wenzake leo alafu AW anasema kesho anaweza akamtumia hapo ndipo napata mshtuko wa tumbo atakuja aumizwe hili deal liingie maji bila sababu hakika hii bahati ikipotea ndio basi tena.
 
Uyu Zorc ana mikwara sana maana juzi amewaka utadhani hawataki kumuuza nimecheka kuona leo kaenda London
ndo hivyo alikuwa anagoma but hana jinsi kwa sasa...
Ila I think tunahitaji pia na one defender kama Evans hivi hapo itakuwa poa...
Nasikia na Ramsey kesharecover tayari hivi ni kweli???
 
ndo hivyo alikuwa anagoma but hana jinsi kwa sasa...
Ila I think tunahitaji pia na one defender kama Evans hivi hapo itakuwa poa...
Nasikia na Ramsey kesharecover tayari hivi ni kweli???

Rambo karudi na game ya BOU alicheza akitokea benchi,good news Ozil leo ame-train pia ivyo nae anaweza jumuishwa kwenye kikosi kesho.
 
Nimeshangaa kuona Sanchez kafanya mazoezi na wenzake leo alafu AW anasema kesho anaweza akamtumia hapo ndipo napata mshtuko wa tumbo atakuja aumizwe hili deal liingie maji bila sababu hakika hii bahati ikipotea ndio basi tena.
Huyu babu hayuko sawa aise...
 
Rambo karudi na game ya BOU alicheza akitokea benchi,good news Ozil leo ame-train pia ivyo nae anaweza jumuishwa kwenye kikosi kesho.
Good news...
Nadhani hapo Ozil atakuwa anasubir aone arsenal watafanya usajiri gani.... Wakifanya wamaana ndo peni ishuke kwenye karatasi...
 
Yeees!!! Wafanye hima na huyu wamvute kweli isijekuwa longolongo.... Nilikuwa natamani defender mmoja wa maana wa kusaidiana na Mustafi(Koschienly umri ushaanza kumtupa mkono) atue hii January....
Midfielding na Attacking sina wasiwasi....
Left and right back(Bellerin and Monreal) sina wasiwasi wala dought kwenye viwango vyao...
Cech yupo vzr..
I think Evans akitua na transfers zikienda vzr,nadhani tutakuwa tushakamilika...
 
Uyu jamaa hana longo longo namuamini sana kwenye taarifa zake na mara zote anatoa taarifa sahihi nahisi AW kwa mara nyingine anatuletea balaa kwa nini anamkomalia Sanchez wakati Manure wameleta sarafu mezani aaaaggggrrrrh....
Naona Manchester wamekomaa wanataka separate deals, wamalizane na Sanchez , halafu arsenal waendelee kubembelezana na mikhitaryan
 
Uyu jamaa hana longo longo namuamini sana kwenye taarifa zake na mara zote anatoa taarifa sahihi nahisi AW kwa mara nyingine anatuletea balaa kwa nini anamkomalia Sanchez wakati Manure wameleta sarafu mezani aaaaggggrrrrh....
Dili ilibidi ikamilike kitambo sana, kwa hapa siwalaumu arsenal, arsenal na utd walishakubaliana kufanya swapping, inshu ikabaki kwa yule kibonge Raiola.

Arsenal wana utaratibu wao agent fees huwa hawalipi zaidi ya 17% lakini kama unavomjua Mino alikua anataka alambe parefu na hapa ndipo dili ilipokua ime stuck, arsenal hawakua tayari kulipa zaidi ya utaratibu wao wa siku zote but so far nasikia kila kitu kipo ok tayari, Sanchez usiku wa jana kaondoka rasmi hotelini na kuwaaga wenzake.

Tukisha mchukua Ozil next summer tunaomba mtutunzie na Maitland Nile tutakuja kumchukua akishakomaa
 
Ansley maitland nile hahahahaha mkubali kutoa martial,lingard,rashford pamoja na pogba .......
 
Ozil is going to sign a new contract with arsenal ww kichwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…