Arsenal inahitaji kocha mpya aanze era mpya Sanchez,Ozil,Walcott wanaondoka pia wachezaji kama Metersacker,Koscielny,Giroud,Carzola umri umeshakwenda wanahitajika wachezaji wapya
Sio itasimama muda Mrefu Bali itasimama milele Coz Kikosi Kama Hichi hakitatokea Tena Kuwepo Katika Sayari hii... Halafu leo anatokea Mtu from nowhere anasema Kikosi cha kina Sterling na Otamendi ndiyo Kikosi bora cha Miaka yote alaaa!

we radika post za huyo zwazwa usiwe unazileta humu bhana...huyo zuzu timu zingine zikifungwa anatulia....ila arsenal ikifungwa anaanza kuchezesha kijambio ka anatafuta mume.....ana mihemko sana na arsenal inabidi Wenger akampose...