Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii alamu uzuri imegonga kipindi cha transfer window.......
Matatizo yamekuwa sehemu mbili sasa,attacking and defensively.....
Hapa ndo utaona ushenzi wa wakubwa wetu....
Sometimes natamanigi roho za mabosi wa timu nyingine... Abramovich na Perez... Hawa watu hawanaga utani kabisa...
Tungekuwaga hivi,nadhani tungekuwa mbali mno....,
 

I didn’t know this is your attitude towards your team, I guess the other day you were emotional. You did not get what I was trying to say. Kimsingi unayoyandika Leo, ndio nilikuwa nayasema, nilishangaa uliponitolea mapovu
 
Ili watu wasijesema Chamberlain kabahatisha kufunga goli, basi Kaamua Kutoa Assist Katika goli la pili ili kucomfirm Kuwa anachofanya ni intentionally! 😀 😀 😀
 
I didn’t know this is your attitude towards your team, I guess the other day you were emotional. You did not get what I was trying to say. Kimsingi unayoyandika Leo, ndio nilikuwa nayasema, nilishangaa uliponitolea mapovu
Ulikuja siku ambayo tulikuwa sawa bado.......,sahivi ndo tunaanza kuona udhaifu wa kikosi chetu....
Nadhani umenielewa...
 
hapana hatukuwa sawa, tatizo lilikuwepo, na kama halitatafutiwa ufumbuzi, hali ni mbaya
Nakubaliana na ww kabisa......,haya mabosi yetu ka mavipofu hivi....., kwa sasa naiona timu yetu ndo weak team among the top sixl....
Transfer window hilo hapo liko wazi.....,key players wanaondoka ila utashangaa mibosi inaangaliana tu ka mizwazwa...
Wakigoma kufanya mambo itabidi tuwaforce....,mechi tano2 hakuna fan kuingia uwanjani nadhani hapo watanyooka....
Liverpool majuzi walikuwa walala hoi,wacheza uropa ila mAbosi makini hawawezi kubaliana na hiyo hali.....,wakasema Brendan tuachie timu yetu......japo walianza vibaya , ona sahivi wanavyomkojolea huko mancity mawe mazitomazito....
Ss tunauza tu wachezaji ilimuradi timu ipate faida......faida yenyewe cjui wanakula rushwa na Wenger wao mi cjui....
Tusubiria hili dirisha tuone watafanya nn hawa mazuzu....
 
Nyie timu si haina madeni bana sasa mnataka makombe ya kazi gani?
 
replacement ya sanchez ni Mahrez, inatakiwa kupata defenders wawili, tunahitaji namba 6, Malcom nimemfuatilia youtube, naona kama inaweza kuwa right addition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…