Wishful thinking while Mugabe/Kagame is in Power..Tetesi
Liverpool na Arsenal watalazimika kulipa takriban £90m kumsajili mshambuliaji wa Monaco Thomas Lemar, 22. (Mirror)
Lakini kulingana na mwandishi wa Ufaransa Julien Laurens, huenda akachelewesha uhamisho wake Liverpool kutokana na michuano ya kombe la dunia (5 live's Euro Leagues podcast)
Game naona Chelsea wako vizuri kabisa...
Pole sana mkuu, just a consolation, you are not missing anything!Huu mwaka nimeuanza ovyo sana game yetu ya 3 hii sijaitazama,muajiri ananituma sehemu za hatari tu duh
Pole sana mkuu, just a consolation, you are not missing anything!
Kacheza fresh, ila katoka kaumia, uzuri alitembea mwenyewe kutoka nje...Mdogo wangu JW10 anaendeleaje maana napata hisia ataitwa yule WC nimeona leo kapewa kamba.
Chelsea hatuwezi hata kwa dawa....
Na mabeki wale anashindwa....Hakika huyu mteja wenu kashinda mechi moja tu kat ya 5 mlizokutana hapa karibun