Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tottenham v Arsenal line-ups:
Tottenham:
Gomes, Assou-Ekotto, Dawson, King, Bale, Kaboul, Huddlestone, Modric, Rose, Pavlyuchenko, Defoe.
Subs: Alnwick, Bentley, Crouch, Gudjohnsen, Bassong, Kyle Walker, Livermore.

Arsenal: Almunia, Sagna, Campbell, Vermaelen, Clichy, Eboue, Diaby, Denilson, Rosicky, Bendtner, Nasri.
Subs: Fabianski, Eduardo, van Persie, Walcott, Silvestre, Merida, Eastmond.

Referee: Mark Clattenburg (Tyne & Wear)
 
Safi sana eboue kuanza kwani anasaidia kwenye kukaba na anajua ku-hold mpira wakati wa kwenda kufanya mashambulizi.super sub zetu leo walcott na van persie. Nimefurahi pia kuona Crouch ajaanza manake huwa anatusumbua sana kwenye mipira ya juu kutoka na urefu wake. Goodluck gunners.
 


Arsenal boss Arsene Wenger: "Robin van Persie is a player who can contribute to us and we're very happy to have him back. It's been a very hard few months for him, but in training he looks like he's never been away. I don't think we can win the league if we don't win tonight, no."

Kitale ndio hicho wenye wivu wajinyonge.
 
Bado nasubiri mchezaji wetu wa kwanza apige shuti golini naona kila mtu anaogopa ,denilson atnitoa akipata nafasi ya kupiga dongo sio muoga.
 
Mwnzenu moyo uko juu dunia nzima, nimekaa na jamaa wa ManU wanasumbua dunia nzima utadhani sisi ndo tuliwafanya wadroo juzi!
 
Tunashinda game hii kama wenger atawatukana watoto wake half time.mbele tunacheza sana na mpira bila sababu.
 
Tunashinda game hii kama wenger atawatukana watoto wake half time.mbele tunacheza sana na mpira bila sababu.
Hivi kwanini tunafurahia saba ball possession badala ya goal scoring! Hawa madogo tukishindwa leo sijui kama nitasinzia!
 
Mwnzenu moyo uko juu dunia nzima, nimekaa na jamaa wa ManU wanasumbua dunia nzima utadhani sisi ndo tuliwafanya wadroo juzi!


Mpira bado kipindi cha pili Arsenal hawana kiungo wa kuunganisha pale kati Nasri anapwaya akipata mpira hajui afanye nini ... ... eboue naye anataka kupiga chenga wakati Bendtner hapati crosses only clichy is trying to deliver some crosses.

Ngoja aingie Walcott na RVP ... ...
 
Bado hatuna msambuliaji anayeweza kujaribu kwa mbali...Eboue anapata nafasi anaaaataka kupiga chenga mpaka kipaaa.aaaaaaaaaaaargh,natamani kuona RVP akiingia mapema......Halafu huy Diaby naye keshaanza kulegea tena,kasi yake inapungua sana......So far So kajitahidi sana...Nina wasiwasi sana na Sylivestre,sina imani naye hata kidogo...Anyways,mpira ni dakika 90...Tusubiri dk 45 za mwisho...Kila la heri...Am off,tuonane after 45+3 minutes...
 
Aluminium Peroxide a.k.a Dino Zoff lol, sasa alipunch ile kona ili iweje wakati alikuwa peke yake..
 
Ahh namuona Monsier David Ginola anapata mapokezi hapa White Hart Lane..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom