Maana yangu mchezaji kama Iwobi akiwa ni afadhali kuliko anaeingia kuna tatizo.Msimu uliopita nilipata matokeo chanya kwako lakini Arsenal ilishindwa kuingia top 4 baada ya almost miongo miwili simply hakuna uhusiano wowote wa matokeo ya Arsenal na kufungwa/kushinda dhidi ya Utd
Naamini ulikua unatazama game yenu ndio maana umeuliza ivyo,ila angalia post yangu ya juu baada ya 1st half nilisema leo JW10 na Iwobi ndio wanaipa timu uhai ivyo kutolewa Iwobi ilikua lazima nishangae hasa kuona anaingia Welbeck ambae ni zaidi ya mediocre.
Just ignore me.We jamaa kweli umeelewa au?
Maana yangu mchezaji kama Iwobi akiwa ni afadhali kuliko anaeingia kuna tatizo.
Kweli tumebakiza mdomo tu...maana mwaka jana tulipiga domo la kubeba Europa. Sasa tunapiga domo la kucheza UCL, huku nyiye mkiangalia Futuhi Alhamisi!
Pole sana chifu, angalia Arsenal isije kukupa pressure bure. Unaona wenzako wamekimbia, hawataki magonjwa.
Hao sio tegemezi ndio maana huwa hata wasipocheza hamna tofauti. Sasa Iwobi unaweza kumfananisha na Rashford? Btw Rashford sio tegemeo ndio maana zaidi ya nusu ya mechi anaanzia benchi kama Martial tu, hata kwenye kufunga sio tegemeo. Anyway basi Arsenal wazuri kuliko Man utd.Ivi unajua Lingard na Rashford ni tegemeo la Utd hili hauoni kama tatizo kwako ila unashangaa kuhusu Iwobi,duh hauoni tofauti ya ukubwa wa Utd kwa sasa ukiangalia squad yako na jinsi wanavyocheza bila ile kujitoa ifike time tupunguze mahaba.
Mumchomoe wa nini wakati timu iko vizuri hio?IVI UYU WENGER TUMESHINDWA KABISA KUMCHOMOA
Ukichukua Europa utacheza ECL mkuu, jitahidini. Glory days are over kisa Man utd hajashinda ECL au EPL title kwa maana hii Arsenal atakuwa wapi maanake hajawahi kushinda ECL na mara ya mwisho kushinda EPL sina uhakika ni miaka 12 ai 15 iliopita.Ukiona umeanza kuliongelea Europa basi ni dhahiri kua glory era is over,hakuna heshima kwenye Europa ila kwa kua amebeba Utd na wao wamebakia mdomo tu basi wanajitahidi kulipamba nani alishtuka wale watoto walipobeba mara 3 mfululizo(kama sijakosea) fikiria siku Messi au CR7 wakiangukia kwenye Europa na timu zao.
Hao sio tegemezi ndio maana huwa hata wasipocheza hamna tofauti. Sasa Iwobi unaweza kumfananisha na Rashford? Btw Rashford sio tegemeo ndio maana zaidi ya nusu ya mechi anaanzia benchi kama Martial tu, hata kwenye kufunga sio tegemeo. Anyway basi Arsenal wazuri kuliko Man utd.
Sawa. Naona povu lishaanza kutoka. Uwe na siku njema.ivi una kikosi bila ya hao mediocre(Rashford na Lingard) wanapotokea bench kocha anamaanisha wanaenda kubadilisha/kuongeza kitu unakataa tena sio tegemezi BTW hata Iwobi mara nyingi anatokea bench heeee heeee kuwakata hao watoto wenu wawili kua sio tegemezi kwenu ni UNAFIKI.
Ukichukua Europa utacheza ECL mkuu, jitahidini. Glory days are over kisa Man utd hajashinda ECL au EPL title kwa maana hii Arsenal atakuwa wapi maanake hajawahi kushinda ECL na mara ya mwisho kushinda EPL sina uhakika ni miaka 12 ai 15 iliopita.
Sawa. Naona povu lishaanza kutoka. Uwe na siku njema.
15yrs and counting. Samahani mkuu naona nimegusa nerve.12 years and counting hii iko wazi ila na wewe ushajiuliza una miaka mingapi na matumaini yapo vipi,ishu ya Europa iko wazi ni kwa walioshindwa kaka lile sio kombe la kuvimba kwa timu kama Utd.
Kuna tofauti ndogo ya pts kati ya 4 na 7....Usiku wa jana Arsenal walilazimisha sare ya pili mfululizo wakiwa katika uwanja wa ugenini na hii imeifanya Arsenal kucheza mechi 9 wakiwa Away na kushinda mechi 2,wakitoa sare 3 na kupoteza mechi 4
Sasa inashika nafasi 7 ikiwa chini ya Burnley yenye pointi 31,papo hapo katika mechi 9 za away wameruhusu wavu wao kuguswa mara 13 na wao kuondoka na magoli 9 tu..
12 years and counting hii iko wazi ila na wewe ushajiuliza una miaka mingapi na matumaini yapo vipi.
yaani tofauti ni point 8 tu tunawakutaUnited won the EPL title in 2012/13 season. So, it has been 4 years since the last championship.
Goons won the last EPL title in the 2003/04 seasons, that is 13 years bruv.
Matumaini: United is sitting 2nd in the league, as a contender. Goons is sitting 7th in the league, vying for a 4th spot.
If you don’t see the difference, then I feel sorry for you.