McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Hivi kwanini tukiwachapa huwa mnachanganyikiwa? Kabla ya kuwapa kile kichapo cha 1-3 mlikuwa kwenye form ila tangu tuwape zile tatu naona draw mbili mfululizo! Jitahidini nafasi ya nne siku hizi si lelemama!
Mkuu kwani uongo?mwamba unavovimba mpaka nimecheka duh hizi timu zetu kweli zina mashabiki oyaaaa oyaaaa.
Mkuu hebu jisikilize....yaani unaona afadhali Iwobi aingie.....kweli arsenal imeshuka kiasi hiki?Welbeck anaingia badala ya Iwobi.
We jamaa kweli umeelewa au?Mkuu hebu jisikilize....yaani unaona afadhali Iwobi aingie.....kweli arsenal imeshuka kiasi hiki?
Msimu uliopita nilipata matokeo chanya kwako lakini Arsenal ilishindwa kuingia top 4 baada ya almost miongo miwili simply hakuna uhusiano wowote wa matokeo ya Arsenal na kufungwa/kushinda dhidi ya UtdMkuu kwani uongo?
Vs mimi 3-1
Vs soton 1-1
Vs west ham 0-0
Naamini ulikua unatazama game yenu ndio maana umeuliza ivyo,ila angalia post yangu ya juu baada ya 1st half nilisema leo JW10 na Iwobi ndio wanaipa timu uhai ivyo kutolewa Iwobi ilikua lazima nishangae hasa kuona anaingia Welbeck ambae ni zaidi ya mediocre.Mkuu hebu jisikilize....yaani unaona afadhali Iwobi aingie.....kweli arsenal imeshuka kiasi hiki?
Mr McDonaldJr next opponent ni nanimwamba unavovimba mpaka nimecheka duh hizi timu zetu kweli zina mashabiki oyaaaa oyaaaa.
Mr McDonaldJr next opponent ni nani
Nb:Hawa man u hawatafika mbali Tuwasubir zile siku zao
But mtu wa tatu anatuacha pointi 4 si mbaya.West ham si wakubeza
Anyway tunafocus what comes next to us not otherwise
Halla gunners
Huyo lazima ale za kutosha tena ghetto lazima aondoke na manundu.Next opponent ni Newcastle United anakuja getho itakua jumamosi game itapigwa saa 12 jioni kwa saa za hapa nyumbani.
Mashabiki wa Utd wamebakiza mdomo tu ila tofauti yao na sisi ni ndogo sana ile glory time ishapita maana leo wanashangilia gap la points na Arsenal washasahau kua lengo ni ubingwa maana wanajua ndoto iyo haipo
Hamna ni Chelsea iliyosuuzwa na west hamHivi hii ni timu au genge la wahuni?
Unataka kujifananisha na Chelsea?Hamna ni Chelsea iliyosuuzwa na west ham
We si umeuliza nimekujibuUnataka kujifananisha na Chelsea?
Kweli tumebakiza mdomo tu...maana mwaka jana tulipiga domo la kubeba Europa. Sasa tunapiga domo la kucheza UCL, huku nyiye mkiangalia Futuhi Alhamisi!Mashabiki wa Utd wamebakiza mdomo tu ila tofauti yao na sisi ni ndogo sana ]
We mbona unatalk too much hapo ulipo panakusaidia nn unataka ushindane na city amekuacha mbali we pigania ushiriki uefa 2 ka wengineKweli tumebakiza mdomo tu...maana mwaka jana tulipiga domo la kubeba Europa. Sasa tunapiga domo la kucheza UCL, huku nyiye mkiangalia Futuhi Alhamisi!
Pole sana chifu, angalia Arsenal isije kukupa pressure bure. Unaona wenzako wamekimbia, hawataki magonjwa.
We mbona unatalk too much hapo ulipo panakusaidia nn unataka ushindane na city amekuacha mbali we pigania ushiriki uefa 2 ka wengine
Wote hapo nashusha muda wowote labda city
City kakuacha pointi nyingi kuliko hata ulizoniacha mm
Kakojoe ukalale saa tisa hii