Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Hahahaha!!!!!! Mi nilijiandaa kwa ushindi ama droo.Hawa Soton si wakispoti wakiwa kwao hasa yule jamaa yao Austin.Haaaaa haaaa duh mimi leo nilikua nina uhakika wa 3 Pts kaka ivyo bado nna huzuni,acha ninyonye hata bia kadhaa nisubiri wale jamaa baadae.
Unachekelea drop na south fala sana
Nyie ndowakulipua
St.Marys sio kwenuUnachekelea drop na south fala sana
Nyie ndowakulipua
Za jioni mkuu vp mzima??????Badala ya Kuingia Vitani na Mizinga Mpaka Kuitwa Kikosi cha Mizinga! Hatimae Waingia Vitani Na Mapanga na Kuitwa Kikosi Cha Mapanga...
😀😀 😀
Za jioni mkuu vp mzima??????
Waiter ongeza hizo zilizobaki ziwe kreti Nikakojoe nikalale
Siku ya Leo tamu sana
Pole lofa wewe utakufa kwa preshaManure tayari kimoja! Tusubiri manne mengine...
Asante na wewe lofa...Pole lofa wewe utakufa kwa presha
Mpira magoli....ukiujua unafunga magoli.
As salaam aleikhum....!wenye mpira wao wamefanya kila ambacho wapenda mpira tulikua tunakitegemea kitambo.
Mkuki kwa Nguruwe...kuna Fans wa Man wanamstusi sana....where are they today....wanaugulia maumivu...Tangu waifunge Arsenal vichwa vikavimba.
Litakuwa pigo kumpoteza huyu Giroud...Tetesi
GIROUD ASHINIKIZA KUONDOKA KWA MKOPO Olivier Giroud anataka kuondoka Arsenal kujiunga na klabu nyingine kwa uhamisho wa mkopo, kwa mujibu wa Daily Mirror . Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa anahitaji muda zaidi wa kucheza kujihakikishia nafasi Kombe la Dunia 2018 na amezipa angalizo Crystal Palace na West Ham.
una uwezo mdogo sana wa kufikiriToka BABU SEYA atoke jela ARSENAL ndo timu iliyofungwa goli LA mapema zaidi