Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT
Soton 1-1 Arsenal
Tuna tatizo kubwa kwenye umaliziaji maana tunaweka kambi kwenye final 3rd ya wapinzani alafu hakuna matokeo.
 
Duh!! Afadhali naweza kunywa kahawa ilikuwa imegoma kupita kooni

Haaaaa haaaa duh mimi leo nilikua nina uhakika wa 3 Pts kaka ivyo bado nna huzuni,acha ninyonye hata bia kadhaa nisubiri wale jamaa baadae.
 
FT
Soton 1-1 Arsenal
Tuna tatizo kubwa kwenye umaliziaji maana tunaweka kambi kwenye final 3rd ya wapinzani alafu hakuna matokeo.
Arsenal hawana watia majaro, jamaa wapaki kwenye 18 na hao kina Ozil wanafurukuta palepale, afadhali wangemchuku kichuya.
 
Kutuacha mbali sio habari tena swahiba ni vema utuambie kua unakaza kumkimbiza jirani yako na kama ukipigwa basi ni dhahiri kua mbio za ubingwa zinakua zinatabirika.
La kumfukuza City halina mjadala. Leo hakuna kufungwa. Ni afadhali gap ibaki vile vile au ipungue.
 
La kumfukuza City halina mjadala. Leo hakuna kufungwa. Ni afadhali gap ibaki vile vile au ipungue.

Kila la heri ila niko timu ya wanainchi leo hua nasikia faraja kuona wanaojua wakishinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…