Kweli wewe ni nzi. Tunaposema kipaji cha mchezaji kimekuzwa we mean kajulikana akiwa wapi na kakuzwaje..
Sasa Ajax na Arsenal ni level moja.
Kumbe kuna watu na viatu humu ndaniIs that it? Don’t give up so easily bruv!
Ni swali ama? Kama ni swali, jibu ni obvious, Ajax wapo wayyyy above Goons! They have won UCL 4 times, Europa Cup 1 time, and Intercontinental cup twice.
They are have the best youth system in the world, having produced: Kluivert, Bergkamp, Sneijder, Van Basten, Cruyff, van der Sar, van der Vaart, de Boer brothers, Edgar Davis etc.
Sasa Goons mna nini cha kujivunia above Ajax FC kweli?
Aaaagh!!!!!Lacazette ataikosa game ijayo dhidi ya Utd amepata majeraha (groin) kwenye game ya jana dhidi ya Huddersfield.
Numbisa nipe predictions za mechi ya Jumamosi na Man U....lazima walale mapema hawa...my bet ....
Anataka sarafu zakupewa watu ka dybala
Hii ni banner yenye ukubwa wa 20 ft kesho itatumika wakati wa game na wimbo wa Ozil utaimbwa na mashabiki,naona tumeshindwa kumpa sarafu tumeamua kumtongoza kwa maneno tu.
Anataka sarafu zakupewa watu ka dybala
Mbadala wa Ozil na Sanchez kwa sasa siuoni. Kwao wako sahihi nadhani they are approaching 30yrs retirement kwenye football inakaribia. Ni wakati sahihi wa kutafuta high salary. Afterall they are good players...
Yes anatusaidia sana sawaduh sikuwahi kufikiria Ozil angesepa mapema ivi ila nilikua na uhakika Sanchez anapita tu,vunja kibubu kaka tumpe uyu muarabu sarafu anatusaidia sana.