Kitu pekee nakifuatilia kwenye hizi game za chandimu ni JW10 bado naamini ana nafasi kikosi cha kwanza kwenye game za EPL,tatizo miguu ya plastic yule dogo.
Lakini Arsenal bado ni kinara wa kundi akiwa na points 10 wakati wanaemfuata wana points 6 mwingine 5 na ndio maana Jana walicheza kama wamevimbiwa kwa sababu kazi iliishaisha siku nyingi