Ni kweli chief yaani unawaangalia wachezaji unaona kabisa jersey zimekua nzito kwao wanashindwa kabisa kupamba kwa ajili ya timu,msimu huu ile game ya Chelsea niliona tumecheza kiume sana na ndio game pekee tulikua Arsenal.
Bila Ya Kusahau Kuwa Referee ni Mike Dean... Popote anapochezesha Mpira Yeye na Anthony Tailor Huchezesha Kwa KumFavor Man U kama alivyokuwa Akifanya Kaka Yao Howard Webb... Chochote chaweza Kutokea....