mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,697
Mkuu unakimbiza lami angalia usije ukawa kama yule bwana aliyepata ajali ya gari kabla ya harusi yakeAll the best Gunners,we can do this,waungwana mtupe updates niko naikimbiza lami nimeikosa hii game.
Duuuh.... Yana roho mbaya haya mashikajiLeo mkae tayari kwa 4G mnara lazima usome .
Ngoja tuwasaidieSiku Zote Walimwachia McDonaldJr Katika Uzi Huu! Lakini Laeo Wale Wazee Wa [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] Wameibuka Kivyengine....
Hawaonekani Katika Kusupport bali Wanaonekana Katika KuCriticise tu..
Nakusalimia.....Morata hawezi fikisha Magoli 3. Nakumbuka sana kauli yako hii mkurya org. Leo kakukaza ka moja tuMkuu unakimbiza lami angalia usije ukawa kama yule bwana aliyepata ajali ya gari kabla ya harusi yake
Kwa man city ilivyo hivi sasa Arsenal kajitahidi sana, na bila upuuzi wa refa tungeondoka na point.Arsenal ni timu nzuri sana. Mchezo wao leo ulikuwa mzuri bali referee kawatibulia ndiyo maana hata mchezaji wa Man city mmoja kaongelea hilo pia. Ktk magoli matatu moja tu ndio sahihi.
Kuwa referee ni zaidi ya kazi. Aliwatoa mchezoni .Still ni timu nzuri changes ni chache sana.
Visingizio 100%Refa katuua sana jana, Man City alivokuw anaongoza goli 2~1 arsenal alikuw anasawazisha na kuongeza ila refa aliwatoa mchezon sana sijui alibet mpuuz yule aaahgrr
kwani kuna mtu anafikirIa hili litimu kubeba EPL ?Naona ndoto za Wenger zinazidi kuzimwa kuhusu kubeba EPL
FT
Arsenal 0-0 CZV
Pamoja na kupata sare ila tume book a place for knockout stage.