McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Monreal...
️
Dakika ya 40
️Dakika ya 40
️
️
️JW10 anaingia nafasi ya Lacazette.
️
️

Naona Sikuhizi Wamekuachia Uzi Peke Yako!!!
Asanteni Kwa Kumpeleka Toni Kwenye Relegation Zone....
Ila timu haina consistency kabisa usishangae mechi ijayo tukafungwa hizo hizo 5!! We need changes kwakweliFT
Everton 2-5 Arsenal
3Pts muhimu sana,good thing Lacazette,Ozil na Sanchez wote wamefunga ila kitu kizuri zaidi JW10 katumia vizuri dakika alizopewa ame-assist ni burudani kuona tumeshinda.
We're famous Arsenal...![]()
Ila timu haina consistency kabisa usishangae mechi ijayo tukafungwa hizo hizo 5!! We need changes kwakweli

ile game ya Watford imetuleta zengwe sana.