Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT
Crvena 0-1 Arsenal
7b744c49139c892032a8df18acbe5ee8.jpg
 
I feel so sorry for them; Atlectico Madrid, Monaco, and others all joining soon...
Eyaaaaa....
 
Ozil anatimkia Manure January
 

Attachments

  • IMG-20171020-WA0003.jpg
    IMG-20171020-WA0003.jpg
    88.8 KB · Views: 52
Hili jukwaa letu miaka yote liko ivi,hakuna vurumai mara mapicha ya Walcot ameoa sijui mchumba wa Ozil kapendeza subiri siku ya game utatuona,muda ni mali mama.
Game gani tena wakati nimeshuhudia game kadhaa zimepita ila hakuna watu, anyway kama unavyosema muda ni mali tuone.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Game gani tena wakati nimeshuhudia game kadhaa zimepita ila hakuna watu, anyway kama unavyosema muda ni mali tuone.

Kuna game imepita bila updates kutoka kwa members wa Arsenal?jaribu kuangalia upya ila umu ni kawaida sana kua kimya kama unafuatilia hii thread mpaka kuwe na mechi utawaona tena mostly wengi wanakuja baada ya game.
 
HBD The Big Boss,miaka 68 leo.
It's time to roll up our sleeves ili babu asheherekee kwa namna yake.
293fc32cc259076ea74bafeb10a13703.jpg
 
5488c8b4ec66d53b81bc7ef03d0056e7.jpg

At last nawaona Lacazette,Ozil na Sanchez at the same page,all the best lads hii game ngumu pia kama ambavyo tunataka kufufuka kwao ndivyo Everton anapanga afufukie kwetu na yule Koeman anajua kutusumbua na mbaya zaidi Wazza yupo pale mbele siku zote ana bahati ya kutufunga.
COYG.....
 
Back
Top Bottom