Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Hii timu mashabiki wake wanaongoza kwa kutamka neno hili FAKING"BIG EXPLANATION IS NEEDED FROM WENGER FOR THE LINEUP HE USED. WHAT THE F-U-K WAS THAT? EVEN MY 5 YEAR OLD SAID THIS WAS A DISASTER LINEUP BEFORE THE GAME KICKED OFF. WENGER MUST BE IN SOME KIND OF GAME FIXING."
ShabashiHii timu mashabiki wake wanaongoza kwa kutamka neno hili FAKING
Confirmed: Alexis seeks permission to leave Chile squad | Arseblog News - the Arsenal news siteNasubiri kipindi cha usajili kipite niweze kuamini hii kitu
Hapana mtani stahmil tu ulipenda mwenyewe na pia ukikaa ndio ukomavu wenyewe usiwe tu siku za furaha ndio unaonekanaHahahaah kwema mtani,,,,,,,,,,najiweka kando kwa muda.
Hashaurikimi nauliza wale wasaidizi wa wenger hawamshaurii uyu mzee?....mbona mambo ni yaleyalee!
furaha na majonzi lazma ukumbane navyo kwenye mpira, asa asikimbie wakati wa majonzi mana akumbuke wakati wa furaha pia upo.Hapana mtani stahmil tu ulipenda mwenyewe na pia ukikaa ndio ukomavu wenyewe usiwe tu siku za furaha ndio unaonekana