playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,661
- 1,581
Waacheni waende zao tu huyu Wenger mpuuz sana na tufungwe na timu zote kasoro man u na Chelsea tu pumbav
Ndio maana nashangaa kuona plastic fans wa arsenal wakikata tamaa, asiyetaka kuichezea arsenal aondoke. No one is bigger than the clubKifupi Wenger ONDOA mchezaji yoyote yule asiyetaka kucheza na jezi yetu, kuanzia Ozil, Shkodran Mustafi, Sanchez...yoyote yule...
Hata tusiposaini wachezaji bado kikosi kikubwa mno, pia tuna vijana kama Ainsley Maitland-Niles na hasa hasa huyu Reiss Nelson, kumbukeni hili jina, huyu kijana yuko vizuri mno mno..
Mpaka huyu malaika/kiumbe Wenger atakapoondoka labda tutapumua.....vinginevyo tujiandaa kwa maumivu zaidiChama letu linahitaji mabadiliko makubwa. Tunatetereka lakini kuna siku tutarudi tunapostahili. Muda wa kuondoa deadwoods umeanza bye bye Gibbs, chamberlain. Loading...
Pamoja na matatizo mengi ya Wenger, Stan Kroenke anasemekana kuwa hajali ufanisi wa timu uwanjani, anachoangalia ni faida yake kimapato. Hata timu anazomiliki huko USA wanalalamika kuhusu ubahili wake na kuweka maslahi yake mbele.Mpaka huyu malaika/kiumbe Wenger atakapoondoka labda tutapumua.....vinginevyo tujiandaa kwa maumivu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifupi Wenger ONDOA mchezaji yoyote yule asiyetaka kucheza na jezi yetu, kuanzia Ozil, Shkodran Mustafi, Sanchez...yoyote yule...
Ndio maana nashangaa kuona plastic fans wa arsenal wakikata tamaa, asiyetaka kuichezea arsenal aondoke. No one is bigger than the club
Plastic fans utawajua tu, shyte happens in soccer. We're arsenal fans, together we stand!! COYG
Waacheni waende zao tu huyu Wenger mpuuz sana na tufungwe na timu zote kasoro man u na Chelsea tu pumbav
Haijakataliwa ila mchezaji ndo anasita anataka kwenda Liverpool.
Kukosa Champions League kuna athari nyingi.Haijakataliwa ila mchezaji ndo anasita anataka kwenda Liverpool.